Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Umeolewa au upo kwenye Mahusiano yanayotambulika? Mchaga wetu asiwe anakadiliana na Hawa wasoma tamthilia wakidhani ndiyo Maisha halisi ya Ndoa....

Fafanua marital status yako Kwanza ili tujue ukomavu wako wa hoja yako.
 
Huyu baby Zu akiendelea kuongea Mambo ya dawati la jinsia sijui usitawi wa jamii Basi tunamuonea huruma muhenga ambaye Yuko naye....

Baby zu anaonekana bonge la pasua kichwa...

Kingine Mangi kusema ukweli ulikuwa na kichwa ngumu kumuoa Huyo mhaya aisee Tena wa hivyo sijui atakuwa mnyambo wa kagera ona Sasa anavyokutesa halafu yeye Hata hajali

Bora utafute Pisi nyingine Kali unajua wanatusaidiana Sana acha tu..

Michepuko yenye Akili IPO na Mungu aendelee kuitunza hahahaha
 
Hujaelewa tofauti jombaa! Wife ni muajiriwa serikalini ila mshahara wake Mungu ananiona sijui anafanyiaga nn nimekausha sababu nna uwezo wa kunhandle familia na kumlisha yy! Km binadamu nafika time nakwama namuomba msaada ananiambia si ukope ht kwa rafiki zako huko mi hela naolitolea wapi! Mind that nanunua kila kitu ndani...nimejenga kwa hela yangu full msaada nikikwama napewa na huyu binti nnaemuita mchepuko...mtu amenikopea mil12 akaniamini akanipannimeanza biashara namlipa kidogokidogo huku huyu wife johncena anakula tu matunda ya biashara ya mwanamke mwenzake halafu unasema nisimthamini huyu binti ntakua na akili??? Mambo hayakwenda sawa mtoto nusu akae nyumbani kisa ada binti wa watu ananiazima namrudishia nafikia nusu deni anasema basi baby umenisaidia vingi hiyo iliyobaki fanyia mambo mengine na mama wa mtoto yupo kabandika makucha km zimwi na wigi lake km mpoki hana time anasema kopa ht kwa rfk zako mi sina hela hlf nisipagawe kuachana na huyu bi dada? Baby zu hayuko serious ht kdg
 
Umeolewa au upo kwenye Mahusiano yanayotambulika? Mchaga wetu asiwe anakadiliana na Hawa wasoma tamthilia wakidhani ndiyo Maisha halisi ya Ndoa....

Fafanua marital status yako Kwanza ili tujue ukomavu wako wa hoja yako.

Ht mm comment yng hapo juu nimeuliza km kaolewa na nimemuombea km bado Mungu ampe mume halafu abehave km wife aone km atatoboa lbd apate mtu mpole na disminder km mm na atamchepukia tuuu km tabia zitakua ni hizo.
 
Makucha na Makope Kama ya Joti ...Huyu mlikofikia hakuna ndoa brother mpaka unamuita zimwi Sasa ole wako uanzishe timbwili la kuachana naye utakuja kujuta..

Friends Mke asiye msaada Ni sawa na changudoa tu ..Zitambue sifa za changudoa
 
Kumuita mwenzako wa hovyo sio vizuri,kila mtu ana yake anayajua mwenyw,sidhani kama uko 100% perfect,watu jamii ya nyie ndo mnaojifanya makanisani/misikitini muda wote kumbe waovu wa kutupwa.
 
inakubidi ukubali matokeo....na mchepuko ako na mind gani??? au yeye kwake ni poa tuu....namuonea huruma mme mwenzio aisee...nyie wanawake nyie....HAMTAKIWI KUCHEPUKA.....
 
Wewe ukifuatiliwa kwa ukaribu utakuwa ni muovu zaidi ya huyo jamaa,nina uzoefu na watu wa aina yako yaani wanajifanya wako perfect lakini mambo wanayofanya hata mungu hapendi.
 
YAANI KUNA WAKE NA mazimwi.....hapa hakuna kushauriwa kuacha....ila yeye aangalie safari yake hapa duniani inaelekea wapi....
 
Wewe ukifuatiliwa kwa ukaribu utakuwa ni muovu zaidi ya huyo jamaa,nina uzoefu na watu wa aina yako yaani wanajifanya wako perfect lakini mambo wanayofanya hata mungu hapendi.
hahahahahhaaaa.....binadamu tukipata kanafasi ka kutapika nyongo...sorry wingi wa nyongo ni vyongo sio...hahahaaahaa..
na jamaa mchgga + mhaya =.....marangi rangi tuu hapo
 
Asikusumbue huyo bint, yawezekana hata hajawahi onja ndoa sasa atakushauri nini,mimi nimeonja shubiri ya ndoa ya namna hiyo,mwanamke hataki ushauri hata kidogo,mshahara wake haujulikani unafanya nn,tujenge hataki yaani kila kitu hata kunipa haki yangu ni shida unaweza kaa 2week ndo upewe kipenyo,nikaamua kutafuta kipoozeo narudi nyumbani kimya,
 
Makucha na Makope Kama ya Joti ...Huyu mlikofikia hakuna ndoa brother mpaka unamuita zimwi Sasa ole wako uanzishe timbwili la kuachana naye utakuja kujuta..

Friends Mke asiye msaada Ni sawa na changudoa tu ..Zitambue sifa za changudoa

Acha tu kaka yaani kuna mida mpk napatwa na hasira.
 
Kumuita mwenzako wa hovyo sio vizuri,kila mtu ana yake anayajua mwenyw,sidhani kama uko 100% perfect,watu jamii ya nyie ndo mnaojifanya makanisani/misikitini muda wote kumbe waovu wa kutupwa.

We muache aendelee na huo mdomo atakuja kujua hajui!
 
inakubidi ukubali matokeo....na mchepuko ako na mind gani??? au yeye kwake ni poa tuu....namuonea huruma mme mwenzio aisee...nyie wanawake nyie....HAMTAKIWI KUCHEPUKA.....

Hahahahahah! Brother umevaa viatu vya mwamba acha tu ni tafrani.
 
Hawawezi kuelewa aisee..pole mzee mwenzangu!
 
Kabla hajaolewa,ungekuwa umepata jibu namna ya kumtema huyo mlipua mabomu (japo inakuwaga ngumu,mimi mwenyewe nimeshindwa). Halafu ungejitwisha hako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…