GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Katu siwezi kufungua ID ingine.Kuna mtu kaninong'oneza isikute hii ni I'd ya kimkakati ya karucee,nikampiga kibao na kumwambia niombe radhi Kwa niaba
Yaani kuuza kiungo cha uzazi....
Wakubwa zangu shikamooni wenzangu habari zenu wote poleni na majukumu.
Wapendwa naombeni msaada wenu tafadhali Mimi ni mama wa mtoto mmoja ninalea mwenyewe kutokana na ugumu wa maisha katika pilika pilika za kulea nimejikuta napita mambo mengi mno ndugu zangu yani imefikia kipindi nimedanga sana lakini kiukweli sijaona faida yoyote ndio kwanza ni kama nazidisha majanga.
Back to the point ndugu zangu naombeni mnisaidie kazi niweze kujikimu au hata mtaji tu najua mnaweza uliza kwanini nimekuja hapa ila kiukweli msaada unaweza pata popote naamini kupitia humu naweza saidiwa pia ninawaomba ndugu zangu mnisaidie hali ni tete sana.
Ewaaa... tatizo la madanga wa siku hizi wananunua kwa mkopo. Nadhani ndio maana bishosti kachoka...Na mnunuzi ndio anaitwa danga
Kwa mkopo mpenzi. Yani kama unakodisha vile. Akishakitumia anakurudishia unaenda kulala nacho. Kama Kidali Po.kiungo cha uzazi unakiuzaje babu!!!
Mwanamke na nusu 🥰Katu siwezi kufungua ID ingine.
Naficha nini, ili nifanikishe nini?
Nabaki na hii hii mara freshi mara bangi tena miksa *****.
AminaPole na hongera sana kwa kukiri kwa kinywa chako kwamba umechoka kudanga. Hiyo ni neema kubwa sana na sio kila mdangaji anaipata
Kinachofuata acha kabisa kudanga ili umpe Mungu nafasi ya kukuonyesha na kukupa maisha bora unayostahili. Na Mungu atakuinulia watu wa kukutoa huko uliko
Kwenya kitabu cha Mathayo 11:28-30 tunaambiwa
"Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi."
Amen Dada.Pole na hongera sana kwa kukiri kwa kinywa chako kwamba umechoka kudanga. Hiyo ni neema kubwa sana na sio kila mdangaji anaipata
Kinachofuata acha kabisa kudanga ili umpe Mungu nafasi ya kukuonyesha na kukupa maisha bora unayostahili. Na Mungu atakuinulia watu wa kukutoa huko uliko
Kwenya kitabu cha Mathayo 11:28-30 tunaambiwa
"Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi."
Kaka Mkubwa, kuuza au kukodisha?
Pole na hongera sana kwa kukiri kwa kinywa chako kwamba umechoka kudanga. Hiyo ni neema kubwa sana na sio kila mdangaji anaipata
Kinachofuata acha kabisa kudanga ili umpe Mungu nafasi ya kukuonyesha na kukupa maisha bora unayostahili. Na Mungu atakuinulia watu wa kukutoa huko uliko
Kwenya kitabu cha Mathayo 11:28-30 tunaambiwa
"Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi."
ukimpa ombaomba mamilioni half kaa baada ya muda utakuta amerudi tena ulipomkuta anaomba. hapo shida ni mindset. kudanga nako ni ivoivo kunaanzia kichwani,,,nashauri usikimbilie kutafuta mtaji bali tibu kwanza kichwa (yaani badili kwanza mtazamo) utaeza kutoka. kila lakheri kiongozi.Wakubwa zangu shikamooni wenzangu habari zenu wote poleni na majukumu.
Wapendwa naombeni msaada wenu tafadhali Mimi ni mama wa mtoto mmoja ninalea mwenyewe kutokana na ugumu wa maisha katika pilika pilika za kulea nimejikuta napita mambo mengi mno ndugu zangu yani imefikia kipindi nimedanga sana lakini kiukweli sijaona faida yoyote ndio kwanza ni kama nazidisha majanga.
Back to the point ndugu zangu naombeni mnisaidie kazi niweze kujikimu au hata mtaji tu najua mnaweza uliza kwanini nimekuja hapa ila kiukweli msaada unaweza pata popote naamini kupitia humu naweza saidiwa pia ninawaomba ndugu zangu mnisaidie hali ni tete sana.
AsanteMwenzio Huddah kadanga hadi amekuwa bilionea sijui mwenzetu umefeli wapi. Pole
Dini yako inasemaje kuhusu hizi kura? Kama uliyoyasema ni ya kweli, basi Magufuli atakuwa anateseka huko.
View attachment 2076414
Ndugu zako waliokwama Moshi, umeshawatumia nauli ?Weka number yako. Tukujaze mijihela
Okopa sana mtu anayepost mistari ya biblia kila mahali
Sio kweliAsaidiwe huyu, wengi hufanya hivyo sababu ya ugumu wa maisha akipata kipato kizuri hafanyi mambo hayo asilani