Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Mnajifanya watakatifu pale tu inapowapendeza. Jumapili wa kwanza kupokea mkate na divai huku mme-clasp mikono mbele kuonyesha unyenyekevu feki. Baada ya hapo mnawinda wenzenu kama wanyama wa kuliwa!! Mnatetea wezi wa chaguzi na nyie wenyewe kuhusika. Ni nini tofauti ya dhambi hiyo na ile ya kudanga?
Anzisha uzi kuhusu hizo kura tujadili mkuu Omusolopogasi


Hapa hoja ilikua moja na mimi nilitoa mchango kwa yule aliyechoka kudanga
 
Namshukuru Mungu injili yangu imeanza kusikika na kufanya kazi .

Dada zangu fanyeni kazi.Pesa za mwanaume ni utumwa na hazikupeleki popote
 


Poleee, maana sio kwa povu hilo
Hadi umeamua kuwa Mungu mtoa hukumu na malaika asiyekua na dhambi sio mchezo

Huu uzi unamhusu mtu aliyekiri kwa kinywa chake amechoka kudanga na ndio chanzo cha comment yangu.
Hayo ya kupokea mkate na divai unayoyaita unyenyekevu feki wahusika hawajakiri wala mimi na wewe sio Mungu ili tupitishe hukumu

Pole tena
 
Mume hautaki?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Muomba msaada wala hajibu Coment za msingi anajibu za pole tu wewe umeamuwa kuwa wazi hapa jukwwani ili uasaidiwe sasa unaficha nini kuwaambia watu kuwa una umri gani, unapatikana wapi na una ujuzi au uwezo wa kufanya kazi zipi ili watu walio eneo la karibu waweze kukupa msaada wa kazi na walioko mbali wakajua wakusaidieje sasa unaficha nini
 
Una hakika gani ni mdada au ni tapeli? Dunia nyingine hii, tena usikute unayesema tumsaidie ndo wewe hiyo hiyo Kwa ID tofauti
 
Just be genuine, hakuna mtu perfect.

We each have our own demons.

You have said more than what is needed.

Na kwa kuongezea, you don't have to be perfect or an Angel ili usaidiwe. Mtu akiamua kukusaidia, atafanya hivyo kwa kua ameamua kufanya hivyo ila sio kwa vile hauna mawaa.

Are you good lakini?
 
Uko wapi, una umri gani na baba wa mtoto yuko wapi? Njoo dm kama huwez kujibu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…