Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Wakubwa zangu shikamooni wenzangu habari zenu wote poleni na majukumu.

Wapendwa naombeni msaada wenu tafadhali Mimi ni mama wa mtoto mmoja ninalea mwenyewe kutokana na ugumu wa maisha katika pilika pilika za kulea nimejikuta napita mambo mengi mno ndugu zangu yani imefikia kipindi nimedanga sana lakini kiukweli sijaona faida yoyote ndio kwanza ni kama nazidisha majanga.

Back to the point ndugu zangu naombeni mnisaidie kazi niweze kujikimu au hata mtaji tu najua mnaweza uliza kwanini nimekuja hapa ila kiukweli msaada unaweza pata popote naamini kupitia humu naweza saidiwa pia ninawaomba ndugu zangu mnisaidie hali ni tete sana.
Sihitaji kuyajua mengi.Unataka franga ngapi ndugu ili tugawane umasikini?
 
Ni sawa na kufanya umalaya au?
Kichocheo cha umalaya ni hulka, kichocheo cha udangaji ni ukosefu wa fursa🐒
IMG_20220110_182757.jpg
 
Back
Top Bottom