G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 1,254
- 2,519
Wakuu, naomba kuuliza ni lini hapa Tanzania mmeshuhudia Ajali ya gari either ya kugongana uso kwa uso or Gari kugonga sehemu kama Mti au daraja na Dereva na abiria wakaokolewa na hizi Airbags kwenye magari yetu?
Binafsi naona hizi Airbags hazina msaada wowote kwa magari yetu haya Second hand maana nimeshuhudia ajali nyingi za Mgongano zimeua watu mara nyingi bila hata kuonekana kama kuna Airbags zilifunguka.
RRONDO