Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
ikiwemo na kukagua mfumo wake mzima wa sensors..Unaweza kuagiza hata used. Mfano ya steering wheel unanunua kile kidude kizima cha katikati kinakuja na airbag.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ikiwemo na kukagua mfumo wake mzima wa sensors..Unaweza kuagiza hata used. Mfano ya steering wheel unanunua kile kidude kizima cha katikati kinakuja na airbag.
Kuna umuhimu wa kutambua airbags kisheria pia ili ziwe enforceable na wale jamaa wa "vyeti". Nadhani ugumu wa kuzi-test zimeondolewa kwenye list.Traffic wanafuatilia siti belt iliyopo kisheria.
Airbag nafikiri hazimo kwenye safety.
Airbag zinakuwa recovery
kabisa sio salama kivile. Sema mimi naona.ni ile kutengeneza bond kati ya boss na suka ili kumsaidia kwenye mambo madogo madogo mfano kumtuma dukani , kumtafutia boss mchuchu (bebez), n.K . Labda ndio inafanya boss kukaa mbele ili dereva amrahisishie mambo yake personal. maana akikaa nyuma anaona mambo yake personal yatakuwa hayaendi kwa haraka kama anavyotaka. Mwisho wa siku lilitokea la kutokea ndio kama hivyo R.I.P.Sio salama kivile
Au Mkuu alikuwa ana drive Toyota Corolla G touring 16 valve effi ya mwaka 1993 ?😂Sensa ya airbag ipo kwenye seatbelt. Ikiwa
sensa imeharibika,
haujafunga mkanda,
sensa haijapata msukumo wa kutosha wa kuhisi hatari
haiwezi kufumua airbag.
Jambo la kwanza hakikisha umefunga mkanda
European cars (benz,bmw) haya madude yana side airbags. Ni wazi yapo salama zaidi. Kuna siku nilikitana na tangazo la gari fulani ya benz ya miaka ya 1970 na wamelisifu kwa usalama wanakwambia hata ligongwe na gari ndogo upande wa ubavuni bado abiria hatokufa kwa sababu mlango wao ni mzito sanaNdugu zetu wa European Cars wanasemaje?
hasa BMW little crush linafumua airbag
Ujinga Fulani ukiojengeka kuwa mtu akikaa nyuma kapewa lifti lakini akikaa mbele ndio bosi .mwenyewe mwenye gariViongozi wa kibongo wanapenda kukaa mbele. sijui kwa nini
Kumbe yalikukuta? Pole mkuu.Little crush u una maana gani? Ukiona airbag imetoka ujue impact imefikia kiwango cha kutoa airbag.
Crown yangu ilipigwa ubavuni hadi control arms za nyuma zikakatika hakuna hata airbag moja imetoka kuna gari hapo? Yaani Crown haina airbag milangoni,haina airbag kwenye door pillars wala kwenye viti! Acha tuendeshe gari za mzungu at least kuna ka dhamana.
Maintenance haiendi monthly. Kwa gari zote japanese au mzunguKwahiyo mkuu kwa ushauri wako european ziko mkao zaidi? hapa nipo kwenye equilibrium kati ya forester ya 2013-2015 na VW Tiguan ya 2013-2015 nichukue ipi? Safari zangu itakua Masaki - Dege [Kigamboni] budget ya fuel ni 600K na provision ya maintanance ni 300k monthly.
Hapa sasa umenena ukweli, kwamba sisi watumiaji wa hizi Toyota lower class tutembee na magodoro tu ndani ya gariLittle crush u una maana gani? Ukiona airbag imetoka ujue impact imefikia kiwango cha kutoa airbag.
Crown yangu ilipigwa ubavuni hadi control arms za nyuma zikakatika hakuna hata airbag moja imetoka kuna gari hapo? Yaani Crown haina airbag milangoni,haina airbag kwenye door pillars wala kwenye viti! Acha tuendeshe gari za mzungu at least kuna ka dhamana.
Namaanisha mie kwenye hesabu zangu ntaweka provision ya 300K monthly ili invoice ikija isinipe surprise au hata kama ni surprise isiwe surprise ya kunipa wengeMaintenance haiendi monthly. Kwa gari zote japanese au mzungu
Kuna miezi unatumia 0 TZS na kuna siku isiyo na jina utaletewa invoice ya 2M TZS
Hapo sawaNamaanisha mie kwenye hesabu zangu ntaweka provision ya 300K monthly ili invoice ikija isinipe surprise au hata kama ni surprise isiwe surprise ya kunipa wenge
Yangu nafikiri ni low end kabisa. Lakini European car low end kabisa mfano VW Golf,Polo ina airbag zaidi ya 10.Kumbe yalikukuta? Pole mkuu.
Usiwaponde sana wajapani, Fuga inazo airbag kwenye viti.
View attachment 3029418
Crown yako ni highest trim? Executive sedan crown ikose airbag kweny viti even at highest trim?
Duh kumbe video ipo. Hio range rover imejitahidi haikuanguka ime slide tu. Hio sio bahati nzuri tu.Hapa nadhan chuma ilifumua airbags pande zote
we jamaa bhana unafaa kutafutwa na kizazi cha ZAirbags hufanya kazi kwenye gari ambazo hazijawahi kupata ajali, kwenye gari mitumba tumia mikono yako kuzuia ulimi wako usimwagike.