Msaada wa AirBags wakati wa Ajali

Msaada wa AirBags wakati wa Ajali

Wakuu, naomba kuuliza ni lini hapa Tanzania mmeshuhudia Ajali ya gari either ya kugongana uso kwa uso or Gari kugonga sehemu kama Mti au daraja na Dereva na abiria wakaokolewa na hizi Airbags kwenye magari yetu?

Binafsi naona hizi Airbags hazina msaada wowote kwa magari yetu haya Second hand maana nimeshuhudia ajali nyingi za Mgongano zimeua watu mara nyingi bila hata kuonekana kama kuna Airbags zilifunguka.

RRONDO
Mie niliingia na benz mtaroni nikiwa na c series isingekuwa mungu na earbags nadhani mpka sasa ningekuwa na miaka 5 chini ya udongo
 
Utakuwa ulishuhudia gari ambazo hazina Airbags. Mimi nimeona picha nyingi sana mtandaoni za ajari hapa Tz airbags zimetoka Japo ni chache abiria amepona. Nafikili sababu ya uwepo wa Airbags ni kukulinda kama umevaa pia seat belt na ajari ni ya kawaida Sasa ajari zetu unakuta USO kwa USO tena ist na fuso hapa Airbags hazikutengenezwa zikuokoe maana body yote ya IST Iko chibi ya engine ya fuso
Ndugu zetu wa European Cars wanasemaje?
hasa BMW little crush linafumua airbag
 
Ndugu zetu wa European Cars wanasemaje?
hasa BMW little crush linafumua airbag
Little crush u una maana gani? Ukiona airbag imetoka ujue impact imefikia kiwango cha kutoa airbag.
Crown yangu ilipigwa ubavuni hadi control arms za nyuma zikakatika hakuna hata airbag moja imetoka kuna gari hapo? Yaani Crown haina airbag milangoni,haina airbag kwenye door pillars wala kwenye viti! Acha tuendeshe gari za mzungu at least kuna ka dhamana.
 
Nataka kuuliza , je siti ya nyuma au katikati kwenye gari kama v8 inaweza kuwa safe seat wakati wa crash kama head to head colition? Nimewaza labda yule ras wa kilimanjaro alepata ajali na suka wake angekaa siti ya nyuma pale labda chance of survival ingekuwepo.
 
Za wazungu zikiguswa kidogo tu zimefumuka
 
Nataka kuuliza , je siti ya nyuma au katikati kwenye gari kama v8 inaweza kuwa safe seat wakati wa crash kama head to head colition? Nimewaza labda yule ras wa kilimanjaro alepata ajali na suka wake angekaa siti ya nyuma pale labda chance of survival ingekuwepo.
Natamani kujua pia?
 
Viongozi wa kibongo wanapenda kukaa mbele. sijui kwa nini
 
Little crush u una maana gani? Ukiona airbag imetoka ujue impact imefikia kiwango cha kutoa airbag.
Crown yangu ilipigwa ubavuni hadi control arms za nyuma zikakatika hakuna hata airbag moja imetoka kuna gari hapo? Yaani Crown haina airbag milangoni,haina airbag kwenye door pillars wala kwenye viti! Acha tuendeshe gari za mzungu at least kuna ka dhamana.
Kwahiyo mkuu kwa ushauri wako european ziko mkao zaidi? hapa nipo kwenye equilibrium kati ya forester ya 2013-2015 na VW Tiguan ya 2013-2015 nichukue ipi? Safari zangu itakua Masaki - Dege [Kigamboni] budget ya fuel ni 600K na provision ya maintanance ni 300k monthly.
 
Upo sahihi mkuu hata me nimeona baadhi ya ajali kuna airbags zilikua released baada ya ajali, lakini kwanini ajali karibia zote nilizoshuhudia hakuna waliopona kwa kuwa Rescued na hizi Airbags?
Impact ni kubwa. Kama nilivoandika hapo juu unakuta ka IST kapo uvunguni mwa fuso, unakumbuka ajali ya maunda zorro ?
 
Unaweza kuagiza hata used. Mfano ya steering wheel unanunua kile kidude kizima cha katikati kinakuja na airbag.
Kati ya vitu ambavyo haviwi tested ni airbag; usually testing zake ni kwenye tukio halisi!
 
Wakuu, naomba kuuliza ni lini hapa Tanzania mmeshuhudia Ajali ya gari either ya kugongana uso kwa uso or Gari kugonga sehemu kama Mti au daraja na Dereva na abiria wakaokolewa na hizi Airbags kwenye magari yetu?

Binafsi naona hizi Airbags hazina msaada wowote kwa magari yetu haya Second hand maana nimeshuhudia ajali nyingi za Mgongano zimeua watu mara nyingi bila hata kuonekana kama kuna Airbags zilifunguka.

RRONDO
Jamaa yangu alibamiza harrier yake ikaisha mbele airbag zikamwokoa...aliitengeneza na baada ya hapo akauza...walioinunua wasahau airbag wakati wa ajali
 
Back
Top Bottom