Msaada wa AirBags wakati wa Ajali

Msaada wa AirBags wakati wa Ajali

Upo sahihi mkuu hata me nimeona baadhi ya ajali kuna airbags zilikua released baada ya ajali, lakini kwanini ajali karibia zote nilizoshuhudia hakuna waliopona kwa kuwa Rescued na hizi Airbags?
Kama alifunga mkanda na bounce si kiasi hichoooo..unapona.
 
Airbag ni kama helmet ya piki piki,hufanya kazi sehemu ambapo shida ni ndogo sana lakini madhara yangekuwa makubwa.
Kwenye helmet na piki piki unaweza panda hata kibunzi ukaanguka chini ukapiga kichwa chini kwa vile kiko uchi safari ikaishia hapo,lakini helmet hii hii unaweza fariki umeivaa kama ulikuwa 180k/h unaenda kuingia nyuma ya semi.

Airbag vivyo hivyo,ajali ndogo tu,kuliko kwenda kujaza tumbo,kifua na uso ktk staring yenyewe inakudaka mapema,ila buyu la kwenda hata yanyewe hitaiona ilikuwa imekaa wapi.
 
Sensa ya airbag ipo kwenye seatbelt. Ikiwa
sensa imeharibika,
haujafunga mkanda,
sensa haijapata msukumo wa kutosha wa kuhisi hatari
haiwezi kufumua airbag.

Jambo la kwanza hakikisha umefunga mkanda
Kwa case yangu mchawi labda sensor,nisingefunga mkanda,ningetoka na kioo cha mbele.
 
Back
Top Bottom