Upo sahihi mkuu hata me nimeona baadhi ya ajali kuna airbags zilikua released baada ya ajali, lakini kwanini ajali karibia zote nilizoshuhudia hakuna waliopona kwa kuwa Rescued na hizi Airbags?Utakuwa ulishuhudia gari ambazo hazina Airbags. Mimi nimeona picha nyingi sana mtandaoni za ajari hapa Tz
Kwenye movies.. Ila ana kwa ana ni ajali ndogo ndogo. Ambazo sio fatal.Mkuu, ulishawahi shuhudiwa na mtu amesaidiwa na airbags kwenye ajali hapa bongo?
Airbags hufanya kazi kwenye gari ambazo hazijawahi kupata ajali, kwenye gari mitumba tumia mikono yako kuzuia ulimi wako usimwagike.Wakuu, naomba kuuliza ni lini hapa Tanzania mmeshuhudia Ajali ya gari either ya kugongana uso kwa uso or Gari kugonga sehemu kama Mti au daraja na Dereva na abiria wakaokolewa na hizi Airbags kwenye magari yetu?
Binafsi naona hizi Airbags hazina msaada wowote kwa magari yetu haya Second hand maana nimeshuhudia ajali nyingi za Mgongano zimeua watu mara nyingi bila hata kuonekana kama kuna Airbags zilifunguka.
RRONDO
Zote sawa mkuuKwani airbag za Tanzania ni tofaut na nchi nyingine?
AiseeeeAir bags kwa ajali zetu hizi Tanzania V8 au subaru inapiga mzinga uso kwa uso na basi au lori la mafuta ,gari yenyewe inakunjwa inakuwa ndogo kama toroli. Sijaona msaada wa airbags kwenye ajali yoyote Tanzania.
Hahahahahaha!Airbags hufanya kazi kwenye gari ambazo hazijawahi kupata ajali, kwenye gari mitumba tumia mikono yako kuzuia ulimi wako usimwagike.
Air bags kwa ajali zetu hizi Tanzania V8 au subaru inapiga mzinga uso kwa uso na basi au lori la mafuta ,gari yenyewe inakunjwa inakuwa ndogo kama toroli. Sijaona msaada wa airbags kwenye ajali yoyote Tanzania.
Bodaboda si mmewekewa Hadi Helmet za chuma mkuuZitolewe tuu mkuu...
Alafu watuweekee kwa boda boda
Njoo sasa mkuu ukae siti ya abiria pembeni yangu alafu tutoke nduki 140kph tukagonge Caravat tuone kama Airbags za pande zote zinafanya kazi sawiaKwa Nini tuandikie mate wakati wino upo?
Chukua gari Yako yenye airbag endesha Kwa Kasi gonga mtu halafu tuletee mrejesho wa airbag
Jaribu peke Yako kwanza jaribio la kwanza kugonga Hilo caravat Mimi nitapanda kama abiria jaribio la pili kama inshallah umetoka salama kwenye Hilo jaribio la kwanzaNjoo sasa mkuu ukae siti ya abiria pembeni yangu alafu tutoke nduki 140kph tukagonge Caravat tuone kama Airbags za pande zote zinafanya kazi sawia
Ajali nyingi za viongozi wa serikali na kisiasa huwa zimepangwa.....Wakuu, naomba kuuliza ni lini hapa Tanzania mmeshuhudia Ajali ya gari either ya kugongana uso kwa uso or Gari kugonga sehemu kama Mti au daraja na Dereva na abiria wakaokolewa na hizi Airbags kwenye magari yetu?
Binafsi naona hizi Airbags hazina msaada wowote kwa magari yetu haya Second hand maana nimeshuhudia ajali nyingi za Mgongano zimeua watu mara nyingi bila hata kuonekana kama kuna Airbags zilifunguka.
RRONDO