Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
📝🤔Mmmmmh! Mchele tena?
Sitaki kuamin kama ni mchele kwel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
📝🤔Mmmmmh! Mchele tena?
Sitaki kuamin kama ni mchele kwel
Hatuna Ukame, hatuna Vita wala sisi sio Wakimbizi.
Watufungulie miradi ya Irrigation Schemes tulime sisi wenyewe Mahindi ni Miezi minne tu tunavuna.
Sijawahi kubahatika kukutana na mtu mwenye asili ya Dodoma mwenye akili japo kidogo.
Yule babu alikuwa Papa Mkubwa (PM) ni zuzu na akatuletea litoto lizuzu kabisa. Yule mwingine Subwoofer, alikuwa zuzu kabisa, hatujawahi kuwa na Subwoofer duni la akili kama lile.
Pia Dodoma ndio sehemu pekee ambapo kuna ardhi inaitwa Zuzu.
Watu wa Dodoma ndio hao kina Mpwayungu Village
Si kwamba alikataa chakula tu. Alikataa hadi mbegu za kisasa kutoka kwa mabeberu.Uzi mzuri ila umeuharibu kumtaja JP, wewe umejuaje kma angekuwepo angekubali au asingekubali?
Ni kweli tuna njaa!Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..
Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?
Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?
Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.
Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..
Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.
Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..
Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.
Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.
View attachment 2935710
Kuukataa msaada toka Marekani ni kosa la Jinai. Adhabu yake ni kupandikiziwa matatizo mpaka muingie katika vita.Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..
Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?
Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?
Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.
Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..
Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.
Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..
Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.
Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.
View attachment 2935710
Hakuna heri chini ya uongozi wa mwanamke hata wangereta hela zingeishia ikulu kununua shanga za kiunoni za dhahabu na almas na kununua vyupi vya halili kutoka dubaiHaya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..
Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?
Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?
Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.
Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..
Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.
Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..
Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.
Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.
View attachment 2935710
Naunga Mkono hojaHahaha.....Badala Wapeleke Gaza
Umesahau na Gereza kuu la kunyongea wafungwa lipo huko.Dodoma ni mkoa wenye laana.
Ardhi ikilaaniwa kuna yafuatayo:-
1. Inazaa mapooza
2. Ukoma
3. Trachoma na upofu
4. Njaa
5. Makao makuu ya vichaa a.k a Mirembe
6. Kinachostawi Dodoma ni zabibu tu, tutengeneze pombe watu walewe wakapige wake zao na kuharibu familia
SIsi pesa zetu ni za kununulia V8 na kulipana poshoHaya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..
Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?
Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?
Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.
Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..
Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.
Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..
Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.
Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.
View attachment 2935710
Wakato Serikali ikiwa na pesa za kufanya matanuzi na kuhudumia ikulu mbili Dar na DOdomaWewe toa hata tani 1
Kama umeahiba kuna watu wana uhitaji na chakula
Hawa watawala walisha jua wanatawala watu wajinga na wanacho kifanya kwa ssa aanajilimbikizia pesa za wajukuu wao kuja kutumia.Hatuna Ukame, hatuna Vita wala sisi sio Wakimbizi.
Watufungulie miradi ya Irrigation Schemes tulime sisi wenyewe Mahindi ni Miezi minne tu tunavuna.
Ni mchele yes, unategemea nini kwenye utawala ambao pwsa za umma ni za kufanyia anasa? nMmmmmh! Mchele tena?
Sitaki kuamin kama ni mchele kwel
maoni na mtazamo wako sio mabaya🐒Nani huyu aliye kuhakuhakikishia hayo? Kwanini wasiwanunulie unga wa Ugali?
Hayo ndio anayoyasema mleta mada, Lishe bora kivipi? Kwani mchele wa Kilombero sio lishe bora? Ukumbuke watoto wanaathirika na Mchele na unaweza kusababisha saratani huko mbeleni, hususani huu mchele unaongezwa kemikali/virutubisho.
Unakandamiza hoja ya mleta mada
mpe majibu aliyokuwa akitafuta basi wewe mtibeli.
??