Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

Hatuna Ukame, hatuna Vita wala sisi sio Wakimbizi.

Watufungulie miradi ya Irrigation Schemes tulime sisi wenyewe Mahindi ni Miezi minne tu tunavuna.

Unahisi tunapungukiwa nini? Akili yetu inafikiria luxuries kwa watawala tu, magari ya 600m tutapataje tukinunulia maskini chakula? Ndege je? Tunataka ndege mpya za viongozi, wanaodumaa wanajitakia wasubiri tu Biden aguswe
 
Sijawahi kubahatika kukutana na mtu mwenye asili ya Dodoma mwenye akili japo kidogo.
Yule babu alikuwa Papa Mkubwa (PM) ni zuzu na akatuletea litoto lizuzu kabisa. Yule mwingine Subwoofer, alikuwa zuzu kabisa, hatujawahi kuwa na Subwoofer duni la akili kama lile.
Pia Dodoma ndio sehemu pekee ambapo kuna ardhi inaitwa Zuzu.

Watu wa Dodoma ndio hao kina Mpwayungu Village

Utapiamlo ni shida kubwa ya nchi wala sio Dom, tuna chronic malnutrition ndio maana tunafanana wote tu! Awe profesa au mtawala hana tofauti na mzee wangu kule mbwilike ambaye hajui hata kusoma hela. Hatuna kitu tunafanya vizuri iwe michezo across all fields hadi uchungaji na ulokole wetu ni tofauti sana na dunia
 
Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..

Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?

Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?

Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.

Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..

Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.

Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..

Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.

Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.

View attachment 2935710
Ni kweli tuna njaa!
Ila walaumu hawa watu...
 
Kuukataa msaada toka Marekani ni kosa la Jinai. Adhabu yake ni kupandikiziwa matatizo mpaka muingie katika vita.
 
Hakuna heri chini ya uongozi wa mwanamke hata wangereta hela zingeishia ikulu kununua shanga za kiunoni za dhahabu na almas na kununua vyupi vya halili kutoka dubai
 
Upumbavu mtupu, yaani serikali imeshindwa kwenda mbeya hapo na kuwanunulia chakula hao watu wa Dodoma?.

Serikali imeshindwa kuwekeza kwenye kilimo maeneo yenye rutuba na kuwawekea stock hao wanaoishi kwenye ukame hapo katikati ya Tanzania?

Serikali imeshindwa kuwekeza kwenye mazao yanayohimili ukame pamoja na kuwafundisha hao watu wa Dodoma nk namna ya kulima kwenye ukame?

Serikali imeshindwa kujenga storage water facility kubwa hapo Dodoma na Singida na kuzijaza maji mwaka nzima na watu wakafanya irrigations.
Yaani hatuna watu wakufanya assessment na kujua litter ngapi za maji zitahitajika Kwa hao raia mwaka mzima Kwa ajili ya irrigation na kuchimba storage ya kuhifadhi hayo maji?
Unahitaji nini kuchimba hizo storage kama sio mabulldozer, excavators nk ambavyo vipo tu available humuhumu.
Yaani maji yote yanayomwagika milima ya uruguru tumeshindwa kuyachanell yaende Dodoma na Singida kwa ajili ya Kilimo?
Ulaya zimechimbwa water channels kibao na kupitisha meli miaka kadhaa huko nyuma Leo sisi 2023 hatuwezi kuwapelekea maji Dodoma na Singida kutokea morogoro na Mwanza.
 
Dodoma ni mkoa wenye laana.
Ardhi ikilaaniwa kuna yafuatayo:-
1. Inazaa mapooza
2. Ukoma
3. Trachoma na upofu
4. Njaa
5. Makao makuu ya vichaa a.k a Mirembe
6. Kinachostawi Dodoma ni zabibu tu, tutengeneze pombe watu walewe wakapige wake zao na kuharibu familia
Umesahau na Gereza kuu la kunyongea wafungwa lipo huko.
 
Ukitaka kujua kuna utapia mlo makubwa hapa bongo angalia timu yetu ya taifa ya mpira wa miguu.
Kwa mtoto atakayekula virutubisho vyote inavyopaswa, basi anakuja kuwa lijitu lenye nguvu lirefuu. Sasa cheki timu yetu vijitu vilivyodumaaa hii yote instokana na kutokupata mlo wenye virutubisho walipokuwa wadogo.

In short ni kwamba ugali ni moja ya chakulaa chenye virutubisho vichacheee sana, alafu ndo unaliwaa kwaa wingii sana bongo
 
Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..

Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?

Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?

Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.

Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..

Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.

Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..

Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.

Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.

View attachment 2935710
SIsi pesa zetu ni za kununulia V8 na kulipana posho
 
Ingekuwa inawezekana, misaada yote na mikopo tungekuwa tunaletewa au kitengenezewa vitu, na siyo kupewa pesa. Kama tunakopa pesa kwaajili pesa kwaajili ya barabara, inatafutwa kampuni ya kimataifa inayoaminika, inasaini mkataba, halafu inalipwa moja kwa moja na taasisi iliyotoa mkopo, bila ya pesa kuingia mfuko mkuu wa Serikali. Ingekuwa inafanyika hivyo, barabara zetu zingekuwa na ubora wa hali ya juu, wala zisingekuwa hovyo kama hizi zinazojengwa na makampuni ya mchongo ya China, na wala tusingekuwa na njia za umeme ambazo nguzo zinadodondoshwa hata na upepo.
 
Hatuna Ukame, hatuna Vita wala sisi sio Wakimbizi.

Watufungulie miradi ya Irrigation Schemes tulime sisi wenyewe Mahindi ni Miezi minne tu tunavuna.
Hawa watawala walisha jua wanatawala watu wajinga na wanacho kifanya kwa ssa aanajilimbikizia pesa za wajukuu wao kuja kutumia.
 
Nani huyu aliye kuhakuhakikishia hayo? Kwanini wasiwanunulie unga wa Ugali?

Hayo ndio anayoyasema mleta mada, Lishe bora kivipi? Kwani mchele wa Kilombero sio lishe bora? Ukumbuke watoto wanaathirika na Mchele na unaweza kusababisha saratani huko mbeleni, hususani huu mchele unaongezwa kemikali/virutubisho.

Unakandamiza hoja ya mleta mada

mpe majibu aliyokuwa akitafuta basi wewe mtibeli.

??
maoni na mtazamo wako sio mabaya🐒

yalikuako, yalijadiwa, yakachakatwa, yakachambuliwa, yakatatmininiwa kitaalamu na kwa umakini mkubwa sana na wawakilishi katika jambo hili, na kujiridhisha kua mpango au mradi huu ni mzuri una manufaa, hauna madhara wala athari zozote kiafya, bali unafaida nyingi sana kwa mustakabali wa afya za watoto wetu waliokua wameathirika pakubwa na utapia mlo kutokana na lishe duni hususan katika eneo husika 🐒

Bilasha maeneo mengine yatafikiwa hapo baadae...

mradi unakwenda vizuri tangu kuanza kwake, mafanikio na matokea chanya yameanza kuoneka kwa wahusika 🐒

masuala ya lishe bora ni nin, sijua vyakula vya viwandani sijui vina nini, yalishajadiliwa mno 🐒

by the way ukijitathimini wewe mwenyewe apo, tangu umeamka kupiga mswaki, kuoga na sabuni, kujipaka mafuta na pafyumu, kunywa chai ya rangi au maziwa na mkate mpaka hapo tu vitu vya viwandani vingapi umetumia 🐒

Fear of unknown ni utumwa na ni adhabu nzito sana kisaikolijia 🐒

Kwa Neema Na Baraka za Mungu Tutafika salama 🐒
 
Back
Top Bottom