Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

Mkuu upo nyankumbu,mwatulole,kalangalala,shelabela au ,nilijua tu we uko geita maana hujui tofauti ya r na l.
Wewe na mkeo utoto unawasumbua
 
Nipe namba yake mkuu,mimi ni mshauri mzuri nitampa ushauri,atatulia na kujua umuhimu wa ndoa na maelewano mema kwenye familia.
 
Mwache aende mali zinatafutwa mwambie akuachie nguo tu za kubadili nyingine pia aondoke nazo
 
Hizi kesi nina uzoefu nazo sana tena zingine ni za hapa hapa JF! Nimejifunza kutotoa hukumu ama ushauri mpaka nipate nafasi ya kusikia upande wa pili

Kabisa ukiwakalisha hawa pamoja unaweza ukabakia mdomo wazi
 
Nilisikia mke akidai taraka hakuna kugawana mali? Ni kifungu namba ngapi msaidieni mdau
 
Haondoki bana ,mpe muda tu atakaa sawa,ila usimpe nauli
 
Achanei utoto af wewe inaelekea mtoto wa meisho kwenu?
 
Rosi[emoji706]

Rakn[emoji706]

Ameshawakalili[emoji706]

Yaani wewe kupata hasara ni halali yako maana kama kuandika tu hujui unategemea ufanye biashara kweli?
 
Sumu za Fasihiii

Wachagizaji, ni Wanyanyasaji, wengi wao hawatokei hapa Afrika

Ukisoma lugha zao ni za Kudumaza

Siwezi kumwonea Huruma mtu kama huyu anayesambaza sumu kwenye Jamii.
 
Mkuu usijipe Stress, Mali zinatafutwa, kuna mjuba anapiga hapo. Pita hivi mapema
 
Rosi[emoji706]

Rakn[emoji706]

Ameshawakalili[emoji706]

Yaani wewe kupata hasara ni halali yako maana kama kuandika tu hujui unategemea ufanye biashara kweli?

We mpumbavu mwenye uwezo wa kuandika ndio unaweza fanya biashara?

#YNWA
 
Na hizo mali ulishamwonyesha zote?
Niliachana na mke wangu miradi yangu mingi nikaiweka chini ya kampuni "Sole" ambayo niliifungua kabla sijamuoa, tukaishi nae miaka sita vitu vingi naviweka chini ya kampuni alipokuja kudai talaka akaambulia nyumba moja na vitu vyote vilivyokuwa chini ya Kampuni vikapona imiwemo biashara ambazo alizikuta, nyumba na maghala na mtaji. Na mali kibao nilizificha kwa ndugu alikuwa hazijui ila nyumba niliyomjengea "ya kishikaji" niliona nimwachie akae na watoto wake yaani ni ya watoto. Vitu vya ndani vyote alichukua na gari moja ikauzwa na biashara moja niliyomfungulia ikapigwa panga mtaji tukagawana, shamba moja nilinunua alime na kufuga likauzwa, ila niliokoa zaidi ya 80% ya mali zangu na mtaji ambazo nilikuwa nimezificha kupitia kampuni na ndugu hasa mshua.

Ishi na mwanamke uliemuoa kwa ndoa kwa akili, usijisahau ukafikiri hakuna kesho. Wenzetu wakienda Mahakamani basi wanapewa uzito sana na sheria zetu, ningeshakuwa masikini maana ilikuwa pasu kwa pasu, 50:50 kila kitu.
Usiombe mke wa ndoa akupeleke mahakamani na talaka iamuliwe unafilisika dakika chache tuu na mali zako wanaenda kula watakao mgegeda baada ya yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…