Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

Nianze kusomba vitu
 
Nawaza nianze kupunguza baadhi ya vitu dukani nivisombe
 
Hamjamuelewa...
Huyu jamaa inaonyesha alianzisha biashara akamwacha na mkewe awe mshiriki.
Sasa anaogopa mkewe akisepa wakagawana Mali ataanzia from bottom.

Na kiukweli kuanzia chini kwenye biashara Kuna uma sanaa na huku ulikuwa juu.

#YNWA
Oo kumbe
 
Sio wote wengine ni wapole mno.

Na wengine ni wapole wasipokua na kitu, wakishika dolari jeuri na huo mdomo huanza.

Kwa jamaa yeye kampa mwanya mke kushika biashara, anajua njia za kupata pesa kama yeye tu. Hapo jamaa kalamba galasa.

Kuna vitu mwanamke hatakiwi kushirikishwa, basi tu.
 
We tulia kwanza. Utaratibu wa kuanzia baraza la usuluhishi utamkata stim hadi hasira ziishe.
MUDA NI TIBA!
 
Hizi bahati za kutaka kuachana mbona mimi sizipati? Zaidi zaidi naambiwa ata nikikufumania siombi talaka tunakomaa humu humu ndani.
 
Ndio tatizo la kutokuwa karibu na viongozi wenu wa Ibada.
Kama ni mkristo Mtafute mch mualike nyumbani au nenda kazungumze nae then uende na mkeo atawasaidia.
Mbona mbali sana huko jamani.Kakesi hako si wanamaliza wenyewe tu chumbani hako mbona kadogo.Amuulize mkewe..unadhani kwanini nimekupiga kibao?je nimekuonea?Halafu ampe nasaha kwa lugha ya upole kesi itakuwa imeisha mbona.
Wkt mwingine kudundwa kidogo ni sunnah.Kwanza unaweza wewe mwenyewe ukakubali kabisa moyoni kuwa kwa kosa hili nililofanya afadhali ya kudundwa kuliko ningerudishwa kwetu maana ningewatia wazee wangu aibu.
 
Pole kaka mkubwa , Mungu akufanyie wepesi.
 
😂😂😂inaonyesha huna kitu ulikuwa unamtegemea manz,sasa kama ulijua ulikuwa unamtegemea mkeo ulikuwa unampiga ili iweje? But pole,ndoa ndivyo zilivyo mkuu
Achana naye huyo jamaa ni marioo tu, na huyo mke wake ameshachoka kulea jitu kubwa lenye ndevu zenye mvi.
Hamjamuelewa...
Huyu jamaa inaonyesha alianzisha biashara akamwacha na mkewe awe mshiriki.
Sasa anaogopa mkewe akisepa wakagawana Mali ataanzia from bottom.

Na kiukweli kuanzia chini kwenye biashara Kuna uma sanaa na huku ulikuwa juu.

#YNWA
hajiamni huyo kwani wakigawana mke atachukua duka lote, hilo ni popoma tu, hakuna mwanaume hapo.
 
Kwenye ndoa,
Ukiona mwanaume unaanza kuogopa kuachana na mkeo kwa kigezo Cha hofu ya kugawana mali jua umekwisha.

Wanawake wajanja Sana,
Atautumia udhaifu huo kukunyanyasa Sana siku za mbeleni,

kwani mkigawana Mali ndo kakukata mikono?

Kwan hujiamini Kama utaweza kupata nyingine?

Mi nnachoamini,
Mwanamke anagombea Mali,
Hata ukimuachia mali hatoboi mbeleni[emoji4]
 
Mi Kuna kipind wife aliwahi kunisababishia loss hivyo hivyo,milivomnyoosha akaibukia kwny kudai kugawana mali. Nilichomfanyia

Hatosahau maishani,
Nilimnyoosha mpk leo hawezi thubutu huo upumbavu, Hata nimzingue neno kugawana mali hawez kuthubutu kulitamka tena
 
Kwa asilimia kubwa ni nyinyi munaofunga pingu za maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…