Msaada wa Haraka: Rafiki yangu kagundua Mchumba wake ni Msaliti, kachanganyikiwa hajui la kufanya Mpaka sasa

Amfanye SPERM DUSTBIN.

Ale mbunyeee akipata mpya asepe.

Mwanamke MSALITI hasamehewi ni kuchapa lapa.
------------------------------------
Kuna Demu Niko nae tokea Oct/2018.

Huduma alikua anapata na penzi pia anapata.

Ila April/2021 niligundua analiwa na jamaa baada ya jamaa kunipigia simu nakuuliza ""Huyu mwanamke ni nani yako?""

Inaonyesha mwamba ali search simu ya demu akakuta meseji zangu.

Sikutaka ugomvi.
Nilimuomba mwamba arelax na tukaongea vizurii.
Tuliongea na jamaa vizuri nikamwambia nakuachia tu usijali maana mapenzi hayagombaniwi.

Mi na huyo demu tunaishi wilaya za jirani.
Kwahiyo inaonyesha nikiwa sipo kwake basi jamaa na yeye anaingia.

Mi nikampotezea.

Ikapita wiki demu akawa ananibembelezaaa arudi eti ""Nimsamehe ananipenda"" kwamba eti yeye na jamaa wameachana kwasababu ananipenda Mimi.

Nikagoma, akawa anabembelezaa kila siku.

Nikaona isiwe tabu NIKAKUBALI.

Penzi letu likarudi Tena May/2021.

Ila tokea siku nakubali, moyoni alikua hayupo kabisaaa.

Mi nilikua nakula mbunye tu, maana ni mtoto wa kingoni anayeyajua mauno na kunyonya koni..!!!

Sikua namzuka nae kabisaa baada ya kurudiana, maana tayari nilikua na mwengine.

Mpaka wiki hii (alhamisi) kajiongeza kwa kunitumia sms ndefuu kuniaga kwamba anahisi simpendi Tena.

Screenshot_20211029-154417.png

Tokea turudiane....
1. Sijawahi mpa hela yangu, kila akiniomba jibu ni SINA
2. Sijawahi mpenda Tena.
3. Nilikua nikimkumbuka nikiwa na nyeg* tuu.

Kifupi MAPENZI YALIISHA, NILIKUA NAKULA TU MBUNYE YA BURE BASI.

Wanawake wanachepuka huwa nawaangalia na kuwa delete, akigoma kuachana namfanya sperm dustbin mpaka yeye mwenyewe ajiongeze ""Hapa sina changu Bora nisepe""

#YNWA
 
safi sana....tukisema punguzeni mapenzi kwa kiumbe mwenzako hamtaki kusikia

humu kila siku tunatoa mbinu za kukwepa maumivu ya mapenzi, ikiwa ni pamoja na kujiwekea back-up, lkn mijitu mibishi, acha wakutane na matokeo yao.

sas huyo bwege kingemkuta kama kilichonkuta mimi si lingejiua[emoji41]
 
Mpe pole huyo rafiki yako mwambie asikilizie moyo wake maamuzi ni juu yake yeye mwenyewe.
 
mazaga one......minilichojifunza ni kwamba kua na mahusiano na demu/mchumba/mke wa mbali na ulipo,kwa maana *long distance relationship ni kutafuta stress na vidonda vya tumbo.

Ushauri wangu....ajaribu kumsahau tuu mdogo mdogo mwishowe atazoea na maisha yataendelea,

Kama akishindwa hivo,mwambie amblock uyo demu sehemu zote kwenye simu ili asipate ushawishi kwa uyo demu.

Then atafute taratibu kabisa msichana ambae watakua karibu waanzishe uhusiano...
 
Habari Wana JF.

Kuna Rafiki yangu nimesoma nae chuo, Sasa alikuwa na Mpenzi wake wa karibu na wamekaa takribani Miaka 4,ila Kwa bahati mbaya yeye huyo jamaa na Mchumba wake Wanaishi Mikoa Tofauti,ila mara kadhaa Binti huenda kumtembelea jamaa yake.Na wanapendana Sana tu.

Sasa Changamoto kubwa ya kilichotokea hivi karibuni na ambacho kimemchanganya Rafiki yangu,ni kwamba alienda safari ya ghafla Mpaka Mkoa ambao huyo Binti anaishi,na Kwa bahati nzuri akashika simu ya huyo bidada na kuona ya kwamba kasalitiwa na huyo Binti na Njemba Nyingine.

Mdada kaomba msamaha Kwa jamaa,lakini jamaa kasema bidada ampe muda Ili aweze kung'amua asije juta Mbeleni,na kiufupi jamaa anampenda huyo bidada,lakini Kila akikaa anasema hawezi rudiana nae.
Sasa Mimi kama rafiki yake nimekuja humu Ili Wana JF muweze Kutoa msaada wa kimawazo na Experience zenu Ili niweze kumshauri huyu jamaa ambaye kawa mnyonge Sana na anasema anawachukia Wanawake wote wa Dunia hii na haamini Tena Mwanamke hata kama akisema anampenda...

Nawasilisha,Ushauri wenu ni muhimu sana...
Aisee pole na majanga Papaa.

Pamoja na hayo, ni vyema kujua sababu gan hasa zilisababisha huyo bibie kusaliti mahusiano.

Ukishagundua sababu.

Then unaangalia, je kosa ni upande wako au ni ushenzi wake tu.

Kama ni ushenzi wake, then unamtema. Maana tabia sio rahisi kubadilika.

Kama ni kosa upande wa Au amesabisha rafik ako.

Then ni kujifunza, amsamehe Mwanamke, akae nae huku akiendelea kutafuta mwanamke sahihi.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Sikia kilichopo hapo mwambie aamue yeye haya maswala sio ya kushauliwa narudia sio ya kushauliwa.
Achague aende kwa mwingne akajisahau akapende zaidi na kwenyewe akasalitiwe au abaki na huyohuyo ambae anamfahamu tayari kua anatabia ya kumsaliti ila Aishi nae kwa Makini uamuzi wake hapo.
 
Habari Wana JF.

Kuna Rafiki yangu nimesoma nae chuo, Sasa alikuwa na Mpenzi wake wa karibu na wamekaa takribani Miaka 4,ila Kwa bahati mbaya yeye huyo jamaa na Mchumba wake Wanaishi Mikoa Tofauti,ila mara kadhaa Binti huenda kumtembelea jamaa yake.Na wanapendana Sana tu.

Sasa Changamoto kubwa ya kilichotokea hivi karibuni na ambacho kimemchanganya Rafiki yangu,ni kwamba alienda safari ya ghafla Mpaka Mkoa ambao huyo Binti anaishi,na Kwa bahati nzuri akashika simu ya huyo bidada na kuona ya kwamba kasalitiwa na huyo Binti na Njemba Nyingine.

Mdada kaomba msamaha Kwa jamaa,lakini jamaa kasema bidada ampe muda Ili aweze kung'amua asije juta Mbeleni,na kiufupi jamaa anampenda huyo bidada,lakini Kila akikaa anasema hawezi rudiana nae.
Sasa Mimi kama rafiki yake nimekuja humu Ili Wana JF muweze Kutoa msaada wa kimawazo na Experience zenu Ili niweze kumshauri huyu jamaa ambaye kawa mnyonge Sana na anasema anawachukia Wanawake wote wa Dunia hii na haamini Tena Mwanamke hata kama akisema anampenda...

Nawasilisha,Ushauri wenu ni muhimu sana...
tapatalk_-1648555217.jpg
 
Shida inaanzia hapo uliposema ni jamaa yako wakati ni wewe!usipofunguka tutakupa ushauri wa kindezi
 
Amfanye SPERM DUSTBIN.

Ale mbunyeee akipata mpya asepe.

Mwanamke MSALITI hasamehewi ni kuchapa lapa.
------------------------------------
Kuna Demu Niko nae tokea Oct/2018.

Huduma alikua anapata na penzi pia anapata.

Ila April/2021 niligundua analiwa na jamaa baada ya jamaa kunipigia simu nakuuliza ""Huyu mwanamke ni nani yako?""

Inaonyesha mwamba ali search simu ya demu akakuta meseji zangu.

Sikutaka ugomvi.
Nilimuomba mwamba arelax na tukaongea vizurii.
Tuliongea na jamaa vizuri nikamwambia nakuachia tu usijali maana mapenzi hayagombaniwi.

Mi na huyo demu tunaishi wilaya za jirani.
Kwahiyo inaonyesha nikiwa sipo kwake basi jamaa na yeye anaingia.

Mi nikampotezea.

Ikapita wiki demu akawa ananibembelezaaa arudi eti ""Nimsamehe ananipenda"" kwamba eti yeye na jamaa wameachana kwasababu ananipenda Mimi.

Nikagoma, akawa anabembelezaa kila siku.

Nikaona isiwe tabu NIKAKUBALI.

Penzi letu likarudi Tena May/2021.

Ila tokea siku nakubali, moyoni alikua hayupo kabisaaa.

Mi nilikua nakula mbunye tu, maana ni mtoto wa kingoni anayeyajua mauno na kunyonya koni..!!!

Sikua namzuka nae kabisaa baada ya kurudiana, maana tayari nilikua na mwengine.

Mpaka wiki hii (alhamisi) kajiongeza kwa kunitumia sms ndefuu kuniaga kwamba anahisi simpendi Tena.

View attachment 1990916

Tokea turudiane....
1. Sijawahi mpa hela yangu, kila akiniomba jibu ni SINA
2. Sijawahi mpenda Tena.
3. Nilikua nikimkumbuka nikiwa na nyeg* tuu.

Kifupi MAPENZI YALIISHA, NILIKUA NAKULA TU MBUNYE YA BURE BASI.

Wanawake wanachepuka huwa nawaangalia na kuwa delete, akigoma kuachana namfanya sperm dustbin mpaka yeye mwenyewe ajiongeze ""Hapa sina changu Bora nisepe""

#YNWA
Kula bia kwa mangi bro, Marioo atalipia..
tapatalk_-1794934760.gif
 
Ushauri huu kiboko[emoji1787]
 
Achana nao mapenzi ni uhayawani, kuna limtu ni rafik yangu mke wake akamwambia sikupend kama mavi, ww mwanaume ndo unalazimisha kunipenda mm sikupendi, akanyanyuka akondoka kwao...
Jamaa akaja kwangu kuomba ushauri nikasema utakufa siku sio zako! Akala viapo vyote pale kwamba hamtak kumuona huyo dada.

Week moja mbele jamaa liko kwa demu limepiga magoti ardhini warudiane na wakarudiana...

Nikala kiapo sitashauru uu-mbwa anae omba ushauri wa mahusiano.

Yan ukifika kwangu nakuona mtu, ukianza hoja ya kuomba ushauri juu ya mahusiano yako pale pale sura yako inabadilika nakuona boonge la Jibwa Koko
 
Tukiwashauri kuachana.mnasema mapenzi Yana nguvu.
Endeleeni kuumia
 
Amfanye SPERM DUSTBIN.

Ale mbunyeee akipata mpya asepe.

Mwanamke MSALITI hasamehewi ni kuchapa lapa.
------------------------------------
Kuna Demu Niko nae tokea Oct/2018.

Huduma alikua anapata na penzi pia anapata.

Ila April/2021 niligundua analiwa na jamaa baada ya jamaa kunipigia simu nakuuliza ""Huyu mwanamke ni nani yako?""

Inaonyesha mwamba ali search simu ya demu akakuta meseji zangu.

Sikutaka ugomvi.
Nilimuomba mwamba arelax na tukaongea vizurii.
Tuliongea na jamaa vizuri nikamwambia nakuachia tu usijali maana mapenzi hayagombaniwi.

Mi na huyo demu tunaishi wilaya za jirani.
Kwahiyo inaonyesha nikiwa sipo kwake basi jamaa na yeye anaingia.

Mi nikampotezea.

Ikapita wiki demu akawa ananibembelezaaa arudi eti ""Nimsamehe ananipenda"" kwamba eti yeye na jamaa wameachana kwasababu ananipenda Mimi.

Nikagoma, akawa anabembelezaa kila siku.

Nikaona isiwe tabu NIKAKUBALI.

Penzi letu likarudi Tena May/2021.

Ila tokea siku nakubali, moyoni alikua hayupo kabisaaa.

Mi nilikua nakula mbunye tu, maana ni mtoto wa kingoni anayeyajua mauno na kunyonya koni..!!!

Sikua namzuka nae kabisaa baada ya kurudiana, maana tayari nilikua na mwengine.

Mpaka wiki hii (alhamisi) kajiongeza kwa kunitumia sms ndefuu kuniaga kwamba anahisi simpendi Tena.

View attachment 1990916

Tokea turudiane....
1. Sijawahi mpa hela yangu, kila akiniomba jibu ni SINA
2. Sijawahi mpenda Tena.
3. Nilikua nikimkumbuka nikiwa na nyeg* tuu.

Kifupi MAPENZI YALIISHA, NILIKUA NAKULA TU MBUNYE YA BURE BASI.

Wanawake wanachepuka huwa nawaangalia na kuwa delete, akigoma kuachana namfanya sperm dustbin mpaka yeye mwenyewe ajiongeze ""Hapa sina changu Bora nisepe""

#YNWA
Ushauri murua kabisa wenye win-win situation ndani yake.

Ni kuufanyia kazi tu, achana na mambo ya kupenda penda hovyo.
 
Back
Top Bottom