Msaada wa Haraka; RC Makonda Asaidiwe Kisaikolojia ana tatizo Linamtesa na Anajidanganya kwa Drama

Sasa kosa lake nini hapo hata kama anajutia hayo unayoyasema maovu, Mimi naona ni bora huyu anayejitahidi hata kuwakutanisha watanzania kumuomba Mungu pamoja kisha kuondoka na amani mioyoni. Makonda ni mbunifu wa mambo mema, na baadhi ya mikoa mingine wanatamani angekuwa mkuu wao wa mkoa.
 
Haki ya nani nimecheka kweli kweli. Aisee huyu jamaa ni msanii mzuri sana.
 
Mungu Hyu muuaji anamjua? Mnadanganyika na usanii wa huyu bweha!
 
Ukiwa mtenda maovu dhidi ya binadamu wenzako nafsi yako itateseka hadi kifo chako kitapowadia.
Kabisa. Jamaa mauaji aliyosimamia ya kina Ben Saanane ndiyo yanamtesa. Kuna siku atalia na kusaga meno kilio cha kweli na siyo huu uigizaji.
 
Marekani si walisema ana nyima watu haki ya kuishi tena aliyesema ni waziri wa mambo ya nje na aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa CIA

Sisi huku kwetu ni Mkuu wa Mkoa. Anasali sasa hivi kuombea wananchi wake wasipatwe na urozi unaoendelea mikoa mingine 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mkuu haya mambo ya rais kulogwa kayasema lini? Kumbe maushungi anaamini ulozi? Ndiyo maana nasema ikulu imeingiliwa.
 
Makonda ni mtu aliyepewa cheo kilichomzidi kimo.

Ndiyo maana anasema ovyo. Anaharibu kusema mpaka kwenye salamu za rambirambi ambazo hazina mambo mengi (rejea alivyochemsha kwenye msiba wa Mzee Reginald Mengi).

Tatizo hatupandishi watu ngazi kwa kuangalia weledi, tunapandisha ngazi kwa kuangalia uchawa na kujuana.

Na hizi kauli ni za kichawa za kujipalilia aonekane anamjali sana rais na wengine ni wabaya.
 
DAMU ZA WATU ALIZOMWAGA ZINAMLILIA, WENGI WANAKUAGA MACHIZI
 
Attention seeker mmoja asiyejitambua..
 
Hii nchi jamani hivi ni nini hiki mbona wehu ndo wanapewa vyeo kutuongoza wenye akili timamu
 
Uende ukaombewe ili chuki iishe moyoni mwako. Kuombewa ni hiari ya mtu kwani akiombewa wewe unaumia nini?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…