Msaada wa Haraka; RC Makonda Asaidiwe Kisaikolojia ana tatizo Linamtesa na Anajidanganya kwa Drama

dah,
haya maisha bana ni fumbo kubwa sana,
yaani Pompeo hana ajira anazurura tu mtaani, Makonda anapeta tu serikalini
Nani kakuambia anazurura mitaani? Fuatilia utafuta post yako mwenyewe!
 
Nyie ndio wale wanaitwa "slow learners" bado tuu hujaelewa madhumuni ya thread? Uko kama yeye kumbe!
 
Nilisha wahi kusema kuwa ukisha mwaga damu ya binadam mwezako hata wewe unakuwa umeuwa nafusi yako pia . Hata usipo kamatwa kwa mauwaji wewe mwenyewe utaiadhibu nafusi yako kwa maisha yako yote. Hakuna kitu kitakupa amani tena katika maisha yako yote. Hii na kwa mtu yoyote uwe una dini au huna dini damu ya mtu ni mbaya sana.
 
Nahisi aliweza kumuingia Magufuli kwa gia hizohizo za kurogwa ili amletee Sangoma
Usikute hata huyu tayari au anamuandaa kisaikolojia ili amuite kumuuliza ni nani wananiroga na unajua kinga iko wapi?
Na asivyo na huruma wala aibu anaweza wataja kina January, Nape, Dr Nchimbi, Majaliwa, Ĺukuvi nk katika wale walio karibu naye kupata nafasi.
Yaani full mentality za kichawi, chuki with no reason!
 
Maombi yake yakifanikiwa ooooh mkolomije mchawi............ushaambiwa kuwa mwenyezi mungu anapenda kusifiwa tu.........wala sio kingine sifa na utukufu ni wa kwake sio mwingine ..............na hilo pia unashindwa kutimiza???
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Huko kwenye mitandao Kuna watu wanamkweza kichizi makonda... Mpaka wamesahau huyu ndio alikuwa MaliyaMungu kwa Idd Amin au Heinrich Himmler kwa Hitler.
 
Siku moja akipata ujasiri wa kusema mbele ya hadhara kama hizo kilicho mtokea Ben Saanane, na alipo sasa; huo ndio utakao kuwa mwanzo wake wa kupona.

Vinginevyo, huyu ni mhanga tu, limebaki kuwa ni swala la muda; lini itakuwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…