Msaada wa Haraka; RC Makonda Asaidiwe Kisaikolojia ana tatizo Linamtesa na Anajidanganya kwa Drama

dah,
haya maisha bana ni fumbo kubwa sana,
yaani Pompeo hana ajira anazurura tu mtaani, Makonda anapeta tu serikalini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwamba makonda ana maisha kuliko mkurugenz mstaaf wa CIA na mstaaf wa mambo ya nje wa USA.😳😳MNAJUA KUDANGANYA NAFSI ZENU.Mtu unaandika vitu huku nafsi inakusuta kisa uchawa💩💩💩💩💩💩💩
 
Gentleman,
pompeo ana tofauti gani na warioba?🐒
 
hapa anayetakiwa kuombewa ni wewe ambae,hukumsikiliza makonda anaongea nini,usikurupuke kuandika kitu bila kufanya tafakuri ya kina
 
Yaani aue watu sababu ya madaraka kisha ajifanye anaitisha maombi? Watu wajinga ndio hukubali hadaa za maombi ya waficha uovu.
 
Samia anajidhalilisha sana kwa huyu kijana! Karne hii bado Tanzania tuna viongozi kaliba ya hawa wenye minyoo ya vichwa 😂😂😂😀.
 
Duh, pole sana ndugu yangu. Sio wewe ila ni huko CCM mnakoambiwa 🧠 weka pale kabatini!
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana na umebakiza hatua chache uwe kichaa
 
Aisee! Nimeisoma hii mpaka nimetamani nimtag yeye mwenyewe, wapambe wake, viongozi wa dini kama Mwamposa, Mzee Pengo nk.
Maana Mungu mwenye upendo bado anampa nafasi ya kutubu lakini anafanya drama zake za kidunia huku anateseka.
Mie namshauri Makonda awafuate viongozi wa dini wasio wanafiki wamshauri nini afanye apate amani moyoni. Sasa hivi hata huyo Rais Samia atamchoka na ataacha kumtumia maana anafika mbali, mpaka anamuambia mambo ya kulogana?
 
Gentleman,
pompeo ana tofauti gani na warioba?🐒
Akili yako inakuambia Warioba ana njaa kama yako?
Kasome sheria ya wastaafu viongozi mliyopitisha ujue Warioba tunamlipa nini kama Makamu wapili wa Rais na Waziri mkuu!
Au wewe ni mfagizi hapo Lumumba hivyo mambo ya kusoma nyaraka hayakuhusu?
 
Kumbe kufanyana kinyume na maumbile ni sehemu ya haki ya watu kuishi? Mie nilikuwa sijui!
Kila utetezi utakaopewa wewe unauamini?
Wewe ndio wale wanaume (kama ni mwanaume) hata mkeo akilala kwa mchepuko na kukuambia nimelala msibani unahàdaika kitoto.
 
Akili yako inakuambia Warioba ana njaa kama yako?
Kasome sheria ya wastaafu viongozi mliyopitisha ujue Warioba tunamlipa nini kama Makamu wapili wa Rais na Waziri mkuu!
Au wewe ni mfagizi hapo Lumumba hivyo mambo ya kusoma nyaraka hayakuhusu?
ana babaika na nini sasa si atulie kama pompeo sasa? tamaa, wivu na chuki dhidi ya serikali sikivu ya CCM vimemjaa, right?🐒
 
Duh, pole sana ndugu yangu. Sio wewe ila ni huko CCM mnakoambiwa 🧠 weka pale kabatini!
Relax gentleman,
makasiriko ni utumwa wa kuumiza roho yako mwenyewe,

siasa inahitaji tu hekima na busara mihemko ni ushirikiana kwenye siasa 🐒
 
ana babaika na nini sasa si atulie kama pompeo sasa? tamaa, wivu na chuki dhidi ya serikali sikivu ya CCM vimemjaa, right?🐒
Mtu mwenye busara hawezi kula mazuri ya nchi huku nchi ikipotea, lazima aionye!
Yaani wewe uzeeni ukiona wanao wanakwenda fyongo utawaacha tuu bila kuwapa mwongozo kwa vile unakula pension yako?
Utaonekana Babu jinga kama mzee Chigwemisye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…