Msaada wa hotel nzuri Dar es Salaam isiyozidi 50,000

Mahorii

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
96
Reaction score
110
Habarini kaka na dada zangu.

Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night.

Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam.

Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu.

Asanteni kwa muda wenu.
 
Dar es Salaam kubwa, taja unatarajia kufikia maeneo yapi...
 
Habarini kaka na dada zangu.

Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night.

Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam.

Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu.

Asanteni kwa muda wenu.
Hoteli ya 50? Labda lodge ya usiweke huko
 
Habarini kaka na dada zangu.

Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night.

Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam.

Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu.

Asanteni kwa muda wenu.
Unajua hotel kweli.
nenda zile zinazoandikwaga vyumba vipo/vimejaa ndo za bei hiyo, zinaitwa guest house
 
Habarini kaka na dada zangu.

Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night.

Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam.

Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu.

Asanteni kwa muda wenu.
Nenda Silver paradise iko Manzese bei nadhani ina anzia 50,000 pazuri sana.
 
Enzi zimebadilika. Sio kila ndugu anapenda ukakae kwake ukiwa na mambo yako ya kikazi.... Kumbuka hilo.
Mimi napenda ndugu zangu wafikie kwangu..... Nimeona watu wanateseka mtu akifikia kwa jamaa yake...

As long ana kitu kinamkeep busy aje akae akichoka atatimua mwenyw
 
Back
Top Bottom