Msaada wa Iran kwa Urusi kumponza, Ulaya waanza kujadili cha kufanya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Uzalendo ulishinda Iran ikaamua kutoa msaada kwa Urusi ambayo inachezea kichapo, ila sasa huo msaada utaiponza Iran maana EU waanza kujadili watakachoifanyia Iran, ikiwemo vikwazo kwa makampuni ya Iran na mambo mengine.

Iran wamejaribu kujitetea sana na kukana kutoa msaada wowote ila ndio basi.

======

The draft sanctions list, seen by the Guardian, is expected to be agreed within days, reflecting EU ministers’ disbelief of Iranian denials of supplying Russia with the low-flying lethal weapons.

The proposals came as Ursula von der Leyen, the head of the European Commission, condemned Russia’s strikes on critical energy infrastructure as “acts of pure terror” that amount to war crimes.

Ukrainian officials have said “kamikaze” drones targeted Kyiv on Monday, in attacks that killed four people, including a pregnant woman and her partner. Videos taken in the Ukrainian capital showed Iran’s Shahed drones, with their distinctive triangle shape, flying low over the city and then crashing into the ground, prompting terrified people to flee.

MSN
 
Jamaa angu wewe ukilala unawaota wazungu, ukiamka wameshakukojoza ndoto nyevu, nenda basi wakupe cha kufanya maana unawapenda sana.

IMG_20221020_051630.jpg

IMG_20221020_051649.jpg
 
Uzalendo ulishinda Iran ikaamua kutoa msaada kwa Urusi ambayo inachezea kichapo, ila sasa huo msaada utaiponza Iran maana EU waanza kujadili watakachoifanyia Iran, ikiwemo vikwazo kwa makampuni ya Iran na mambo mengine.

Iran wamejaribu kujitetea sana na kukana kutoa msaada wowote ila ndio basi.

======

The draft sanctions list, seen by the Guardian, is expected to be agreed within days, reflecting EU ministers’ disbelief of Iranian denials of supplying Russia with the low-flying lethal weapons.

The proposals came as Ursula von der Leyen, the head of the European Commission, condemned Russia’s strikes on critical energy infrastructure as “acts of pure terror” that amount to war crimes.

Ukrainian officials have said “kamikaze” drones targeted Kyiv on Monday, in attacks that killed four people, including a pregnant woman and her partner. Videos taken in the Ukrainian capital showed Iran’s Shahed drones, with their distinctive triangle shape, flying low over the city and then crashing into the ground, prompting terrified people to flee.
Silaha pekee iliyobaki ya NATO kuitawala dunia ni sanctions. silaha ya sanctions imeshapitwa na wakati na ndio maana nchi nyingi sasa zinataka kujiunga na BRICKS Ili kuachana na ukoloni mamboleo wa marekani na NATO
 
Iran imeishi katikati ya vikwazo vya kiuchumi kutoka USA kwa miaka dahali na inaendelea kushamili bado Israel iliibana Iran kivita lakini mwanaume katusua saaaafi saaana urusi kwa kuwasaidia teknolojia marafiki kama Iran leo mambo swaaafi kabisa rafiki Iran analeta silaha siyo wanajeshi kama ilivyozoeleka na drone zimeonesha ufanisi katikati ya zinazosemwa vifaa madhubuti kutoka ulaya na marekani saafi sana urusi saafi sana Iran huu ndio uanaume
 
😀😀😀watamfanya nini zaidi ya vikwazo, ambavyo Iran ameshazoea hakuna jipya
 
Iran imeishi katikati ya vikwazo vya kiuchumi kutoka USA kwa miaka dahali na inaendelea kushamili bado Israel iliibana Iran kivita lakini mwanaume katusua saaaafi saaana urusi kwa kuwasaidia teknolojia marafiki kama Iran leo mambo swaaafi kabisa rafiki Iran analeta silaha siyo wanajeshi kama ilivyozoeleka na drone zimeonesha ufanisi katikati ya zinazosemwa vifaa madhubuti kutoka ulaya na marekani saafi sana urusi saafi sana Iran huu ndio uanaume
Saaafi saaaana.
 
Uzalendo ulishinda Iran ikaamua kutoa msaada kwa Urusi ambayo inachezea kichapo, ila sasa huo msaada utaiponza Iran maana EU waanza kujadili watakachoifanyia Iran, ikiwemo vikwazo kwa makampuni ya Iran na mambo mengine.

Iran wamejaribu kujitetea sana na kukana kutoa msaada wowote ila ndio basi.

======

The draft sanctions list, seen by the Guardian, is expected to be agreed within days, reflecting EU ministers’ disbelief of Iranian denials of supplying Russia with the low-flying lethal weapons.

The proposals came as Ursula von der Leyen, the head of the European Commission, condemned Russia’s strikes on critical energy infrastructure as “acts of pure terror” that amount to war crimes.

Ukrainian officials have said “kamikaze” drones targeted Kyiv on Monday, in attacks that killed four people, including a pregnant woman and her partner. Videos taken in the Ukrainian capital showed Iran’s Shahed drones, with their distinctive triangle shape, flying low over the city and then crashing into the ground, prompting terrified people to flee.

MSN

Here we go again: Source-MSN!!

Nikwambie mara ngapi kwamba Iran haiogopi ngulu mbili yoyote hapa Duniani - how many times must I repeat myself?? Kama Iran inakanusha, basi, watu wenye akili wanajua hilo ni suala kutaka ku-maintain PR nzuri na International community na sio kwamba inaiogopa US na majambazi wenzake wa huko Ulaya.

Hasikwambie mtu Iran namba nyingine kabisa hawana mchezo/utani na kikubwa zaidi hawaogopi mtu, mtasema saaana lakini Iran mara zote anatekeleza anacho kiona kina manufaa kwake - bila kujali Amerika na vassals wake watasema nini,after all Uncle SAM hana hati miliki ya Dunia labda kwenu Kenya, ujeuri na majivuno ya USA specifically Joe Biden hiyo yote Putin na wenzake wamekwisha yatafutia dawa, Dunia haitakuwa the same tena baada ya vita hii ya Ukraine unless viende kwenye phase ya ku-resort kwenye matumizi ya thermonuclear weapons - hata hiyo US stands to loose big time.
 
Silaha pekee iliyobaki ya NATO kuitawala dunia ni sanctions. silaha ya sanctions imeshapitwa na wakati na ndio maana nchi nyingi sasa zinataka kujiunga na BRICKS Ili kuachana na ukoloni mamboleo wa marekani na NATO

Ndio silaha hatari hata kuzidi mizinga, Warusi wanakipata pata, wanaendelea kushuka kwa mwendo kasi.
 
Here we go again: Source-MSN!!

Nikwambie mara ngapi kwamba Iran haiogopi ngulu mbili yoyote hapa Duniani - how many times must I repeat myself?? Kama Iran inakanusha, basi, watu wenye akili wanajua hilo ni suala kutaka ku-maintain PR nzuri na International community na sio kwamba inaiogopa US na majambazi wenzake wa huko Ulaya.

Hasikwambie mtu Iran namba nyingine kabisa hawana mchezo/utani na kikubwa zaidi hawaogopi mtu, mtasema saaana lakini Iran mara zote anatekeleza anacho kiona kina manufaa kwake - bila kujali Amerika na vassals wake watasema nini,after all Uncle SAM hana hati miliki ya Dunia labda kwenu Kenya, ujeuri na majivuno ya USA specifically Joe Biden hiyo yote Putin na wenzake wamekwisha yatafutia dawa, Dunia haitakuwa the same tena baada ya vita hii ya Ukraine unless viende kwenye phase ya ku-resort kwenye matumizi ya thermonuclear weapons - hata hiyo US stands to loose big time.

Wewe nimekuambia mara nyingi leta source zako za uarabuni kama source zangu za Marekani huziamini, mnaparamiwa pembe zote mpaka mkome ubishi.
 
Jitu halina kazi, liko hoehae anatetea wazungu, hivi unajua wazungu wanatuona sie nyani, badala hata umtetee mrusi ambaye hana shida na mtu, NATO inatoka from USA hadi Ulaya inataka iweke kambi Ukraine, nani mchokozi hapo?

Ujue ukishakuwa mpumbavu, ni hasara kwa dunia nzima, sbb huo upumbavu utaleta shida na umaskini hadi kwa ukoo wenu wote..

Hivi hadi sasa kuna mtu hajui katika vita hivi vya Russia vs Ukraine ni nani mchokozi? Au nani kavianzisha? U.S.A ndio chanzo, dunia nzima sasa hv kila kitu kimepanda sbb ya mafuta na gas, mbolea kuwa adimu, kwanini NATO watake kuweka kambi Ukraine na iwe mwanachama wa NATO? Yote haya ni visa vya wazungu kutaka kuangamiza Russia.

Wazungu wamekuwa watu wa kuangamiza wenzao miaka na makarne.. Alafu anatokea one black @ss from nowhere anatetea wazungu, pumbavu kabisa.
 
Bahati mbaya sana Huwa unapata views kidogo,nyuzi zingine unakuta Zero comments😆

ha ha ha kumbe huwa unahesabu hadi views zangu, kweli nina mashabiki wa damu, hongereni sana na shukrani.
 
Back
Top Bottom