Msaada wa Iran kwa Urusi kumponza, Ulaya waanza kujadili cha kufanya

Uzalendo ulishinda Iran ikaamua kutoa msaada kwa Urusi ambayo inachezea kichapo, ila sasa huo msaada utaiponza Iran maana EU waanza kujadili watakachoifanyia Iran, ikiwemo vikwazo kwa makampuni ya Iran na mambo mengine.

Iran wamejaribu kujitetea sana na kukana kutoa msaada wowote ila ndio basi.

======

The draft sanctions list, seen by the Guardian, is expected to be agreed within days, reflecting EU ministers’ disbelief of Iranian denials of supplying Russia with the low-flying lethal weapons.

The proposals came as Ursula von der Leyen, the head of the European Commission, condemned Russia’s strikes on critical energy infrastructure as “acts of pure terror” that amount to war crimes.

Ukrainian officials have said “kamikaze” drones targeted Kyiv on Monday, in attacks that killed four people, including a pregnant woman and her partner. Videos taken in the Ukrainian capital showed Iran’s Shahed drones, with their distinctive triangle shape, flying low over the city and then crashing into the ground, prompting terrified people to flee.

MSN
Huna habari za Kenya za kuandika?
 
Yaani katika ujinga ambao Iran alifanya ni kujiingiza kichwa kichwa katika hii vita wakati inajua kuwa safari hii Urusi kavunja sheria na mikataba ya kimataifa.

Wao walipaswa wasubiri mgogoro wao wa na nchi za west kuhusu ishu ya Nyukilia iishe ndo ijitutumue lakini wao wakajiingiza kichwa kichwa.

Sasa Iran imeipa Israel sababu ya kuwaambia west kuwa mnaona, hawa jamaa huwa wanakana kutaka kutengeneza mabomu ya Nyukilia lakini ni waongo, ndiyo maana hata leo wanaongopa kudai kuwa hawaipi Urusi drones!.

Urusi hiihii ambayo imekuwa ikiiruhusu Israel kupiga maslahi yake Syria halafu inajiweka kimbelembele kumsaidia Urusi.

Safari hii Iran imeingia cha kike!
 
IRAN haiogopi vikwazo tokea mwaka 1979 mpaka leo IRAN wako na vikwazo

Kama IRAN yenye vikwazo tokea mwaka huo halaf wanawapa shida US na vibaraka wake kwenyeDRONE tu

Niwazi sera yao ya vikwazo imefeli pakubwa sanaaaaa

IRAN wanajua nini wanafanya kuliko wewe hapa jf

Kama wanawasaidia HIZBULLAH waliopo hapo seuze RUSSIA

Ingawaje IRAN hajatoa silaha muache kulia lia
 
Uzalendo ulishinda Iran ikaamua kutoa msaada kwa Urusi ambayo inachezea kichapo, ila sasa huo msaada utaiponza Iran maana EU waanza kujadili watakachoifanyia Iran, ikiwemo vikwazo kwa makampuni ya Iran na mambo mengine.

Iran wamejaribu kujitetea sana na kukana kutoa msaada wowote ila ndio basi.

======

The draft sanctions list, seen by the Guardian, is expected to be agreed within days, reflecting EU ministers’ disbelief of Iranian denials of supplying Russia with the low-flying lethal weapons.

The proposals came as Ursula von der Leyen, the head of the European Commission, condemned Russia’s strikes on critical energy infrastructure as “acts of pure terror” that amount to war crimes.

Ukrainian officials have said “kamikaze” drones targeted Kyiv on Monday, in attacks that killed four people, including a pregnant woman and her partner. Videos taken in the Ukrainian capital showed Iran’s Shahed drones, with their distinctive triangle shape, flying low over the city and then crashing into the ground, prompting terrified people to flee.

MSN
Vitu kama hivi mtatishia tu wa afrika sababu wanajikomba na njaa za viongozi wetu ila huko dunia nyingine ,hawatishiki kabisa halafu ndo silaha ya mwisho wamagharibi wamebaki nayo, watu wanaelekea BRICS kwa sasa wamagharibi watapigana vikwazo wao wenyewe
Screenshot_20221020-153518_Sputnik.jpg
 
MK254 chunga ulimi wako - mimi ni mkristo sina u Sheikh wa aina yoyote - jikite kwenye mada na sio kukimbilia kubambika watu madhahebu ambayo hayawa husu, najua lengo lako ni nini lakini kwa leo nakustahi tu - nikukumbushe kwa mara nyingine tena kwamba ukome kuniletea matani yako ya kijinga - leta hoja zako zenye mshiko watu wataluelewa.

Hehehe juzi ulijaribu kujifichia kwenye Utanzania, leo unataka kujificha kwenye Ukristo, kwa taarifa yako Ukristo sio kitu cha kuiga, mnafahamika sana.....
 
MK254 chunga ulimi wako - mimi ni mkristo sina u Sheikh wa aina yoyote - jikite kwenye mada na sio kukimbilia kubambika watu madhahebu ambayo hayawa husu, najua lengo lako ni nini lakini kwa leo nakustahi tu - nikukumbushe kwa mara nyingine tena kwamba ukome kuniletea matani yako ya kijinga - leta hoja zako zenye mshiko watu wataluelewa.
Imamu mbona unakataa imani yako?
 
IRAN haiogopi vikwazo tokea mwaka 1979 mpaka leo IRAN wako na vikwazo

Kama IRAN yenye vikwazo tokea mwaka huo halaf wanawapa shida US na vibaraka wake kwenyeDRONE tu

Niwazi sera yao ya vikwazo imefeli pakubwa sanaaaaa

IRAN wanajua nini wanafanya kuliko wewe hapa jf

Kama wanawasaidia HIZBULLAH waliopo hapo seuze RUSSIA

Ingawaje IRAN hajatoa silaha muache kulia lia
Bado haijawekewa vile vyenyewe vya weka ugoko niweke chuma!
 
[emoji23][emoji16][emoji23]

Kati ya wewe na WHITE HOUSE waliosema kama wanaeka vikwazo ambavyo utawala wa IRAN hautafikisha miaka 40 tumuelewe nani

Njia pekee yakuishinda IRAN nikuivamia kijeshi na hilo hawawezi

Walitumia kifo cha Mahsa kuona utawala ule unapata pigo la ndani baada ya vikwazo kufeli napi wamefeli

IRAN dude kuuubwa sana hapo ME na kwengineko kuliekea vikwazo nakutegemea kwamva eti wataanguka poleni sana mwajidanganyaaaaa
 
Back
Top Bottom