Msaada wa Iran kwa Urusi kumponza, Ulaya waanza kujadili cha kufanya

mkuu nenda basi ukaolewe na hao wazungu
maana,
Mada zako zilezile tu za kiqma
hivi huwa unapata hata time ya kuchakata mbususu!!?
Amejitakia Iran hapa lazima mada zije na tuzijadili, wewe silazima kuja hapa jifungie ndani uangalie x
 
Uzalendo ulishinda Iran ikaamua kutoa msaada kwa Urusi ambayo inachezea kichapo, ila sasa huo msaada utaiponza Iran maana EU waanza kujadili watakachoifanyia Iran, ikiwemo vikwazo kwa makampuni ya Iran na mambo mengine.

Iran wamejaribu kujitetea sana na kukana kutoa msaada wowote ila ndio basi.

======

The draft sanctions list, seen by the Guardian, is expected to be agreed within days, reflecting EU ministers’ disbelief of Iranian denials of supplying Russia with the low-flying lethal weapons.

The proposals came as Ursula von der Leyen, the head of the European Commission, condemned Russia’s strikes on critical energy infrastructure as “acts of pure terror” that amount to war crimes.

Ukrainian officials have said “kamikaze” drones targeted Kyiv on Monday, in attacks that killed four people, including a pregnant woman and her partner. Videos taken in the Ukrainian capital showed Iran’s Shahed drones, with their distinctive triangle shape, flying low over the city and then crashing into the ground, prompting terrified people to flee.

MSN
Watamfanyaje kwani?
 
Mwaka huu vibaraka wote wa fashti putin lazima wapate za uso,hadi humu jf naona wafuasi wa fashisti wanakula za uso hasaa safi sana MK254
 
Ndio silaha hatari hata kuzidi mizinga, Warusi wanakipata pata, wanaendelea kushuka kwa mwendo kasi.

Comments zako nyingine mtu ukizisoma ni burudani tosha!! Hivi kwa akili zako unafikiri Urusi ina shida gani au umesahau kwamba mbili ya tatu ya World land mass ni Taifa la Urusi au ndio unalifahamu hilo kwa mara ya kwanza!! Sasa wewe mtu wa ajabu unafikiri Taifa ambalo liko endowed na vast Natual resources (Gesi,Mafuta,Uranium,Earth rare metals and other minerals) pamoja na science na teknolojia ya kileo, Taifa kama hilo linaweza kweli kutetereka kwa aina yoyote ile kweli au unajesemea tu kutokana na chuki zako binafsi kuhusu Taifa la Urusi na Iran.

Yaani umekwisha jiona wewe ni roving Balozi wa Merikani au Minister without potifolio wa Serikali ya Biden, sio kwamba unashangaza tu bali unatia simanzi sana kwa kuwa ujitambui - kuna wenzangu humu wamejaribu sana kukuelimisha lakini wapi bwana, umekwisha kunywa maji ya bendera ya Merikani ndio maana umehamua kuweka pamba masikioni na kuwa vuvuzela wa Magringos na adithi zako za Alice in a Wonderland!!

La mwisho, hivi imejaribu kufatilia kwa karibu kati ya USA/Ulaya na Urusi,je,kati ya hayo ni mataifa yapi ambayo yapo katika hali tete ya kiuchumi baada ya kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Urusi - kwa taarifa yako-Urusi bado inadunda na uchumi wake kupaa tofauti na matarajio ya Serikali za Merikani na Ulaya zilivyo kuwa zinategemea!! Walifikiri uchumi wa Urusi utaporomoko exponentially kumbe wapi, badala yake uvhumi wa kwao ndio unaelekea kufa kifo cha mende, maadamano karibu miji yote mikuu barani Ulaya wakishikiza viongozi wao wajitoe kwenye ushirika wa NATO na waache kuburuzwa na Utawala wa Kimerikani, cha ajabu media za magharibi hazitangazi maandamamo hayo wala kutangaza kwamba Mataifa ya Ulaya yamechoshwa kuendeshwa puta na Merikani, hata wewe hilo ulisemi.

Ukweli ni kwamba mataifa ya Ulaya yanataka yaji hamulie mambo yao wenyewe kama Mataifa huru na sio kukalilishwa kwamba waichukie Urusi bila sababu za msingi huku wakijua fika kwamba Urusi ni Taifa barani Ulaya, lakini Wamerika hawataki kabisa Mataifa ya Ulaya kuwa in good books na Urusi, watafanya lolote kuhakikisha hilo halitekelezeki - hata vita hii ya Ukraine ni moja ya mbinu za Kimerikani kugombanisha Bara la Ulaya na Urusi ili Merikani ipate kisingizio cha kuendelea kubakiza majeshi yake barani Ulaya pamoja na military bases wakijidai ndio wenye uwezo wa kuwalinda kijeshi - kumbe lengo lao hasa they want to use Europe and Europeans for US selfish ends mainly using Ukraine to destroy Russia in totality wako very determined kweli kweli.
 
Uzalendo ulishinda Iran ikaamua kutoa msaada kwa Urusi ambayo inachezea kichapo, ila sasa huo msaada utaiponza Iran maana EU waanza kujadili watakachoifanyia Iran, ikiwemo vikwazo kwa makampuni ya Iran na mambo mengine.

Iran wamejaribu kujitetea sana na kukana kutoa msaada wowote ila ndio basi.

======

The draft sanctions list, seen by the Guardian, is expected to be agreed within days, reflecting EU ministers’ disbelief of Iranian denials of supplying Russia with the low-flying lethal weapons.

The proposals came as Ursula von der Leyen, the head of the European Commission, condemned Russia’s strikes on critical energy infrastructure as “acts of pure terror” that amount to war crimes.

Ukrainian officials have said “kamikaze” drones targeted Kyiv on Monday, in attacks that killed four people, including a pregnant woman and her partner. Videos taken in the Ukrainian capital showed Iran’s Shahed drones, with their distinctive triangle shape, flying low over the city and then crashing into the ground, prompting terrified people to flee.

MSN
Siyo kweli hata kidogo. Iran haijaipa Urusi drones. Iko hivi: Marekani na nchi za NATO kwa ujumla wanaona fedheha sana kuwa umoja vwao umeshindwa kabisa kuishinda nchi moja tu ya Urusi!! Kipigo alichokitoa Urusi hivio karibuni baada ya Ukraine kufanya ugaidi kwenye daraja la ukraine kumeishtua sana Marekani na washirika wake!! Walifikiri Urusi ameishiwa na silaha kumbe si kweli. Ili kuipokonya Urusi sifa / credit kwa kipigo hicho wakaamua kulazimisha kuwa huo ni msaada toka Iran!!
Mabaki ya kamikaze drones zinazotumiwa na Urusi zinaonesha kuwa hizo zimetengenezwa Urusi na bsi ile model ya Iran!!
 
Wengine hawatishwi nyauu MK254,wako huru na wanafanya mambo yao bila kupangiwa na baberu mkuu🏃🏃
 
Hamna views hapo buda😂😂😂

Nimeenda kwenye profile yako tuu kisha nikaangalia threads zako, thats it.

Safi sana, umeongeza idadi ya views kwenye profile.
 
Comments zako nyingine mtu ukizisoma ni burudani tosha!! Hivi kwa akili zako unafikiri Urusi ina shida gani au umesahau kwamba mbili ya tatu ya World land mass ni Taifa la Urusi au ndio unalifahamu hilo kwa mara ya kwanza!! Sasa wewe mtu wa ajabu unafikiri Taifa ambalo liko endowed na vast Natual resources (Gesi,Mafuta,Uranium,Earth rare metals and other minerals) pamoja na science na teknolojia ya kileo, Taifa kama hilo linaweza kweli kutetereka kwa aina yoyote ile kweli au unajesemea tu kutokana na chuki zako binafsi kuhusu Taifa la Urusi na Iran.

Yaani umekwisha jiona wewe ni roving Balozi wa Merikani au Minister without potifolio wa Serikali ya Biden, sio kwamba unashangaza tu bali unatia simanzi sana kwa kuwa ujitambui - kuna wenzangu humu wamejaribu sana kukuelimisha lakini wapi bwana, umekwisha kunywa maji ya bendera ya Merikani ndio maana umehamua kuweka pamba masikioni na kuwa vuvuzela wa Magringos na adithi zako za Alice in a Wonderland!!

La mwisho, hivi imejaribu kufatilia kwa karibu kati ya USA/Ulaya na Urusi,je,kati ya hayo ni mataifa yapi ambayo yapo katika hali tete ya kiuchumi baada ya kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Urusi - kwa taarifa yako-Urusi bado inadunda na uchumi wake kupaa tofauti na matarajio ya Serikali za Merikani na Ulaya zilivyo kuwa zinategemea!! Walifikiri uchumi wa Urusi utaporomoko exponentially kumbe wapi, badala yake uvhumi wa kwao ndio unaelekea kufa kifo cha mende, maadamano karibu miji yote mikuu barani Ulaya wakishikiza viongozi wao wajitoe kwenye ushirika wa NATO na waache kuburuzwa na Utawala wa Kimerikani, cha ajabu media za magharibi hazitangazi maandamamo hayo wala kutangaza kwamba Mataifa ya Ulaya yamechoshwa kuendeshwa puta na Merikani, hata wewe hilo ulisemi.

Ukweli ni kwamba mataifa ya Ulaya yanataka yaji hamulie mambo yao wenyewe kama Mataifa huru na sio kukalilishwa kwamba waichukie Urusi bila sababu za msingi huku wakijua fika kwamba Urusi ni Taifa barani Ulaya, lakini Wamerika hawataki kabisa Mataifa ya Ulaya kuwa in good books na Urusi, watafanya lolote kuhakikisha hilo halitekelezeki - hata vita hii ya Ukraine ni moja ya mbinu za Kimerikani kugombanisha Bara la Ulaya na Urusi ili Merikani ipate kisingizio cha kuendelea kubakiza majeshi yake barani Ulaya pamoja na military bases wakijidai ndio wenye uwezo wa kuwalinda kijeshi - kumbe lengo lao hasa they want to use Europe and Europeans for US selfish ends mainly using Ukraine to destroy Russia in totality wako very determined kweli kweli.

Urusi kwa sasa maisha magumu sana sheikh, na hali inazidi kuwa ngumu.
 
Siyo kweli hata kidogo. Iran haijaipa Urusi drones. Iko hivi: Marekani na nchi za NATO kwa ujumla wanaona fedheha sana kuwa umoja vwao umeshindwa kabisa kuishinda nchi moja tu ya Urusi!! Kipigo alichokitoa Urusi hivio karibuni baada ya Ukraine kufanya ugaidi kwenye daraja la ukraine kumeishtua sana Marekani na washirika wake!! Walifikiri Urusi ameishiwa na silaha kumbe si kweli. Ili kuipokonya Urusi sifa / credit kwa kipigo hicho wakaamua kulazimisha kuwa huo ni msaada toka Iran!!
Mabaki ya kamikaze drones zinazotumiwa na Urusi zinaonesha kuwa hizo zimetengenezwa Urusi na bsi ile model ya Iran!!

Kwanza kabisa Marekani na washirika wake hawapigani pale, siku wakijiingiza kupigana basi Urusi atafutwa kwenye ramani na Iran naye hatasazwa kwa hiyo misaada anatoa.
 
Mk254 ni kama unaishi sayari yako pekee yako🥱

Wote tuko humu tunashuhudia hivi vita tangu vinaanza, naomba huyo Urusi akosee njia na kushambulia kataifa kamoja ka NATO.
 
Yani Nato wamekiri wazi hawana technology inayoweza kushindanana drone za Iran 😂 Yani wameamua labda watamshinda Muiran kwa sanction wakati sanction zao haziwezi mdhuru Iran hata siku moja.

wanavyo dai wao drone niza Iran si za Mrusi, na sikia Mrusi na Muiran wameomba Ukraine na Nato watoe evidence zake kama hizo drone ni za Muiran,si kupiga kelele kama wapiga gongo
 
Urusi kwa sasa maisha magumu sana sheikh, na hali inazidi kuwa ngumu.

MK254 chunga ulimi wako - mimi ni mkristo sina u Sheikh wa aina yoyote - jikite kwenye mada na sio kukimbilia kubambika watu madhahebu ambayo hayawa husu, najua lengo lako ni nini lakini kwa leo nakustahi tu - nikukumbushe kwa mara nyingine tena kwamba ukome kuniletea matani yako ya kijinga - leta hoja zako zenye mshiko watu wataluelewa.
 
Back
Top Bottom