Msaada wa Iran kwa Urusi kumponza, Ulaya waanza kujadili cha kufanya

Huna habari za Kenya za kuandika?
 
Yaani katika ujinga ambao Iran alifanya ni kujiingiza kichwa kichwa katika hii vita wakati inajua kuwa safari hii Urusi kavunja sheria na mikataba ya kimataifa.

Wao walipaswa wasubiri mgogoro wao wa na nchi za west kuhusu ishu ya Nyukilia iishe ndo ijitutumue lakini wao wakajiingiza kichwa kichwa.

Sasa Iran imeipa Israel sababu ya kuwaambia west kuwa mnaona, hawa jamaa huwa wanakana kutaka kutengeneza mabomu ya Nyukilia lakini ni waongo, ndiyo maana hata leo wanaongopa kudai kuwa hawaipi Urusi drones!.

Urusi hiihii ambayo imekuwa ikiiruhusu Israel kupiga maslahi yake Syria halafu inajiweka kimbelembele kumsaidia Urusi.

Safari hii Iran imeingia cha kike!
 
IRAN haiogopi vikwazo tokea mwaka 1979 mpaka leo IRAN wako na vikwazo

Kama IRAN yenye vikwazo tokea mwaka huo halaf wanawapa shida US na vibaraka wake kwenyeDRONE tu

Niwazi sera yao ya vikwazo imefeli pakubwa sanaaaaa

IRAN wanajua nini wanafanya kuliko wewe hapa jf

Kama wanawasaidia HIZBULLAH waliopo hapo seuze RUSSIA

Ingawaje IRAN hajatoa silaha muache kulia lia
 
Vitu kama hivi mtatishia tu wa afrika sababu wanajikomba na njaa za viongozi wetu ila huko dunia nyingine ,hawatishiki kabisa halafu ndo silaha ya mwisho wamagharibi wamebaki nayo, watu wanaelekea BRICS kwa sasa wamagharibi watapigana vikwazo wao wenyewe
 

Hehehe juzi ulijaribu kujifichia kwenye Utanzania, leo unataka kujificha kwenye Ukristo, kwa taarifa yako Ukristo sio kitu cha kuiga, mnafahamika sana.....
 
Imamu mbona unakataa imani yako?
 
Bado haijawekewa vile vyenyewe vya weka ugoko niweke chuma!
 
Bado haijawekewa vile vyenyewe vya weka ugoko niweke chuma!
[emoji23][emoji16][emoji23]

Kati ya wewe na WHITE HOUSE waliosema kama wanaeka vikwazo ambavyo utawala wa IRAN hautafikisha miaka 40 tumuelewe nani

Njia pekee yakuishinda IRAN nikuivamia kijeshi na hilo hawawezi

Walitumia kifo cha Mahsa kuona utawala ule unapata pigo la ndani baada ya vikwazo kufeli napi wamefeli

IRAN dude kuuubwa sana hapo ME na kwengineko kuliekea vikwazo nakutegemea kwamva eti wataanguka poleni sana mwajidanganyaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…