Noted mkuu,next week litafanyika hilo kuna muda nilijifanya nahuruma sanaHakina principal ya kuishi na mwanamke wa aina hyo. Inategemeana na akili yake, wapo wengne wastaarabu na wanaheshimu ndoa zao na heshima kwa mume wake haishuki.
Lakn kuna wengne ndio wanaota mapembe na unaweza kujua kila aina ya rangi yake.
Kikubwa omba Mungu tu ailinde ndoa yako.
Lakn pia hata wewe punguza wasiwasi.
Kama ulikuwa hujazaa naye mchape mimba za fasta, angalau afikishe hata watoto watatu au wanne
Usicheleshe hawatabirikiNoted mkuu,next week litafanyika hilo kuna muda nilijifanya nahuruma sana
HakikaUsicheleshe hawatabiriki
Inategemeana na akili yake
AminiHakuna kanuni za kuishi na mwanadamu kwa kuwa mwanadamu sio gari au machine....wewe ishi nae kwa kadri ya utayari wa utashi wako na uwezo wako wa kuvumilia kero zake......vikikushinda unaachana naye.....
Thanks alotKwanza toa mentality uliyonayo kuhusu mkeo maana kati ya vitu vinaleta shida kwenye ndoa au hata mahusiano ni hali ya kuwa na wasiwasi na mwenzio aisee inapunguza kujiamini na utaishi maisha ya shida sana ! Na ukitaka kufa mapema ishi kwa kumhisi vibaya mwenzi wako maana unakoelekea hata kitu kidogo utahisi ushachapiwa 😂
Kingine angalia ndani na uhangaike na yaliyo ndani hapa namaanisha kwamba mwangalie yeye na utatue matatizo kulingana na yeye ulicho nacho kichwani kuhusu yeye kuwa mfanyakazi ni matokeo ya ulichokisikia au ulichokiona kwa wengine 😂 Lakini haimaanishi ndivyo mkeo alivyo.
Acha aende akapate changamoto mpya ni muhimu kwa ajili yake na ustawi wake unapojisikia vibaya kwanini ameajiriwa ni ubinafsi maana unaangalia faida unazozipata wewe sio yeye. Atakupunguzia mzigo pia kama ulikua unatumia kigezo cha kumtawala kwa sababu hana pa kwenda 😂😂
Baba atabadilika zaidi ya Zuwena. Lakini kama ulikuwa mume na ukampa na kumtunza kama sehemu yako atakulindia heshima yako pia.
Sio kunyenyekewa kifupi ukizingua nakuzingua hapo hapo haijalishi cheo muonekano wala pesaWewe una mke mzuri sana tatizo liko kwako!
Sasa omba mkeo aendelee na huo ulokole wa kufunga siku 3 anaombea mahusiano!
Inaonyesha wewe ni mtemi,unapenda kunyenyekewa Sasa omba hayo awe aliyafanya kwa mapenzi na sio kukosa pa kwenda!
Kabla mkeo hajawa konki masta badilisha tabia zako kuwa mume mwema na ndoa yenu itaendelea kuwa tamu bila kujali umbali!
Kama Uko Songea na Yeye Yuko Arusha, Ndoa iko hatarrini, Nauli kwenda na Kurudi ni Laki tano😂😂Mbaya zaidi katupwa mpakani mimi nipo kusini yeye kaskazini probability ya kua pamoja haizidi mala kumi kwa mwaka(changamoto) huu ni mtego/jaribu kwa kila mmoja kwani nauli tu kwenda na kurudi inakosti 400k mala kumi ni kama 4M,kwa uchumi huu wa Trump changamoto
Sawa mkubwa Machale nimechanja hadi kwenye kisiginoJiandae kwa lolote, anza kutengeneza mazingira ya backup, usije kujikuta unabaki kwenye mataa maana hapa sasa ndio unaingia kwenye ndoa halisi, kama alikua anakunyenyekea ki maigizo hapa ndio utaupata ukweli.
Wanaokudanganya kwamba umpachike mimba za fasta fasta hao wanakutengenezea kaburi wanakutengenezea mazingira ya mambo yakiharibika ubaki kwenye hiyo ndoa kwa kisingizio cha ‘kulea watoto’ hili litakuweka kwenye jela ya milele na ndio utakua mwisho wa furaha/amani ya moyo wako, kama kweli ana nidhamu nidhamu yake inapaswa iendelee kuwepo, kama hana nidhamu hata umpachike mimba 100 bado ataendelea kutenda aliyokusudia.
All in all jiandae kisaikolojia, mwanamke akipata cheo/pesa wengi wao ni kama akili huwa zinawaruka, nimeishi nao kwenye ofisi mbali mbali na nimejionea mengi.
Kataa ndoa.