Msaada wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi

Hiyo 400k ya nauli unayoiona ni nyingi, itumie kama kipimo.

Katika mahusiano, distance huwa inafanya kazi moja "It exposes the truth."

Kama alikuwa anakuombea na kufunga akiwa hana hela, sasa hivi ndio utajua kama alikuwa anakuombea wewe au alikuwa anamuomba Mungu ampe mchongo ili akukimbie.


Usiwe mtu wa kumpigia simu kila saa kuuliza "Umekula nini?", "Uko na nani?" Unafanya nini?"

Maintain your mystery. Acha yeye ajiulize kuhusu wewe huko Kusini unafanya nini.

Umbali unahitaji high level psychological warfare, sio kulialia.
 
tafuta elimu ya unajim kisha chagua unae endana nae kijina na nyota ya tarehe . vingine hivyo ni ngonjera tu...oa yule ambae nyota zinaendana na shart ni mkae wote hao wa mipakan ni uhuni ndoa gan mnakutana x10 kwa mwaka ? . .michepuko itakua ni balaa.
 
Umefanya jambo zuri sana kujiandaa kisaikolojia. Kwa ufupi yote unayoyawaza ndiyo yatakuja kutokea siku za usoni. Na kama na wewe ni muajiriwa, basi kazi ipo.

Au ufanye uhamie huko Kaskazini aliko ukalinde mali yako.
 
Boss wangu mmoja wa kimanga aliwai nambia nanukuu... "DISTANCE LOVE IS IMAGINATION""

MWISHO WA KUNUKUU
 
Mimi nilieoa form four (sijui kama ni form four failure au lah) nitulie nione wadau wanashauri nini,maana naweza nikatia neno nikaonekana akili sina.
 
Sahihi ndio maana nimeleta jf the home of great thinkers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…