Msaada wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi

Eti hawezi kumnyenyekea mwanamke utafikiri yeye Bakhresa!
 
Hutegemea na akili yake. Mpe mda

Ila punguza wasiwasi, huo wasiwas na dhana uliyoibeba kuwa mke mtumishi ana changamoto.
Kwan vikitokea vishda vidogodogo utapanik na hapo atakuchoka mwisho.
Zoea tu na umzalishe, ala kikubwa heshima tu
 
Kama ulifosi akupende LAZIMA Uwe na wasiwasi na unaachwa

Ila kama mlipendana, usihofu kabisa. Mwambie akae hata miaka 5 kabisa.
Mkuu yeye ndio alinifosi nilikua sina hata muda ndio maana kunamda nawaza nisije ingizwa mjini ikala kwangu Mazima

Hakuna kitu kibaya duniani kama kumuamini binadamu
 
Fimbo ya mbali haiui NYOKA Mkuu.

Andika maumivu tu.


Hao viumbe ni mtihani sana ndiyo maana bible ikasema tuishi nao kwa akili.

Akiwa mbali na wewe UHAKIKA wa Kuchapwa ni 99.99%
 
Fimbo ya mbali haiui NYOKA Mkuu.

Andika maumivu tu.


Hao viumbe ni mtihani sana ndiyo maana bible ikasema tuishi nao kwa akili.

Akiwa mbali na wewe UHAKIKA wa Kuchapwa ni 99.99%
Ni kuishi kwa akili tu kupunguza wasi wasi na kujifanya uko single ilihali unajua yanayojiri

Nimegundua ukitaka kuishi bila stres duniani hizi mambo usiwe nazo serious sana vinginevyo utaishia segerea,au kufa mapema gani sasa
 
Huu ni ubinafsi sasa, khaaah
 
Haswaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…