Msaada wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi

Wewe umejichanganya mwenyewe,.. Kama ulitaka mwanamke wa dizaini hiyo, usingeoa msomi. Ungeoa Beki 3

Mwanamke msomi kabisa ashinde tu nyumbani kujinyenyekeza na kufanya domestic cores?? What's the hell with you???
 
Wewe umejichanganya mwenyewe,.. Kama ulitaka mwanamke wa dizaini hiyo, usingeoa msomi. Ungeoa Beki 3

Mwanamke msomi kabisa ashinde tu nyumbani kujinyenyekeza na kufanya domestic cores?? What's the hell with you???
Wapo waliosoma na wapo vizuri,hii game ni betting
 
Mwanetu Ndoa hazina fomula
 
Sijawahi kuona au kusikia mapenzi ya mbali yenye Amani, maybe kuna exception.
 
Noted mkuu,next week litafanyika hilo kuna muda nilijifanya nahuruma sana
Kuwa makini mkuu. mwisho wa siku hao watoto ni jukumu lako. Utawatunza wewe. Naamini wewe ni kijana. Jitahidi kupanga mipango mpate watoto/familia utakayoimudu.

Akiamua kutafuta side dish hata kama ungemzalisha watoto watano atachomoka tuu.

Choices have consequences....be careful.
 
Mwanamke niwako ukiwa naye,Akitoka sio wako..Omba uhamisho umfuate au yeye akufuate..Lakini pia kama amekuzidi tarakimu bora ukae naye mbali labda awe ni mtu wa dini sana vingnevyo hutakuwa na sauti ya kimamlaka na utajuta kwanini ulimfuata...Mengne utajiongeza mwenyewe maana Hayana fomula maalum.
 
Sawa mkuu
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…