Hauna degree wewe.mkuu mimi bado ni mtoto na pale ni kwetu
Mkuu, nimepitia post zako za siku zilizopita ulizozianzisha hapa jukwaani, napata shaka na hizi shida zako.mkuu mimi bado ni mtoto na pale ni kwetu
😂😂nilihisi mimi tu ndo naona huu uzi kama mzaa!wadau mbona mnakaza akili, jamaa anafurahisha wana jamii tu
Naamini ni chai tena hata sukari haina.
Lakini kama ni kweli mtu kama wewe na wengine aina yako ni hasara kubwa sana.
Miaka 37 unang'ang'ania kwa baba yako ni kwako hapo!!!
Harafu una Degree!!!
Hapa Mzee alikuwa anauza Ng'ombe na kwenda kusomesha Ng'ombe mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaccm mwenzenu huyoUmeandika kama umeondolewa ubongo. Hiyo degree yako imekuwa ni hasara kwako.
Nakushauri urudi nyumbani ukakiri kosa na kuomba msamaha, hiyo ndio njia pekee itakayofungua baraka kwa Mungu. Pia, achana na siasa maana inaonekana siasa kwako ni mzigo unaokufanya ukose hekima.