Msaada wa Saikolojia: Nimetokea kupenda part time love/Uke wenza kuna kama mimi?

Huyo Mume wa mtu alikua anakutumia kama kipozeo tu,Wanaume hua hatusahau familia zetu,
Umri umesha kutupa mkono,umejikatia tamaa,ndio maana unarukia waume za watu,ndio maana nikakwambia wewe ni mtu usiyejiamini,huna self confidence,pia hujikubali,kubaliana na matokeo tu kua umri umekwenda,utakuja kukatwa masikio na wake za watu
 
Wewe ni Malayer,subiri siku upate kipigo kutoka kwa wenye mali ndio utajua,
Wewe ni mtu usiyejiamini,unapenda mtelemko,
Nashangaa watu kukusifu humu kwa kua na mahusiano na Mume wa mtu kwa miaka 4
Yasemekana wanaume hawawezi kuwa na KE mmoja
Hiyo school of thought tunaichukuliaje wananzengo
 
Kwani nani kasema mume asahau familia yake?
Infact sitamani aisahau
Natamani a'maintain familia 2
Know the difference
Ama hujaona tofauti hapo?
 
Utawadanganya wavulana wa humu tu,watu wazima tumesha kuelewa zaidi ya unavyojielewa wewe mwenyewe.
 
Kwani nani kasema mume asahau familia yake?
Infact sitamani aisahau
Natamani a'maintain familia 2
Know the difference
Ama hujaona tofauti hapo?
Wewe ni mpumbavu,mwanamke anayejitambua na aliyelelewa na familia ya maana,hawezi kujisifu kwenye social media umalaya wake wa kutembea na waume za watu.
 
Wewe ni mpumbavu,mwanamke anayejitambua na aliyelelewa na familia ya maana,hawezi kujisifu kwenye social media umalaya wake wa kutembea na waume za watu.
Usipate hasira sana..ndo maisha
Hayajaanza leo..yalianza zama za agano la kale katika Biblia..
Na hayataisha leo
Ushajiuliza kwanini?
Tufanyeje
 
Huu ndio ukweli Sasa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…