Msaada wa Saikolojia: Nimetokea kupenda part time love/Uke wenza kuna kama mimi?

Hongera sana. Natamani nipate mwanamke mwenye akili pana kama wewe.
 
Huyo kijana uliyempenda asiwe tu baba Uswege Mwachiluwi
All in all una moyo WA chuma kama alivyosema ephen_
Ahahah sio mimi usiwe na hofu kabisa upo mwenyewe moyo uhuu ni uwanja wako cheza utakavyo

Ata ivyo umeshindaje kipnz siku yako ilikuwaje? Mimi siku yangu ilikuwa ime nibana kwa kazi ambazo haziishi kiasi cha kuwa na hasira gafla πŸ˜‚
 
Ukituliza kichwa utaona mtizamo tofauti
So jipe/nakupa muda
 
Wewe ni mwanamke wa thamani kubwa!

Unakidhi mahitaji na matamanio ya wanaume tulio wengi.

Ningelipata mwanamke kama wewe ningelisherehekea.

Wanaume tunatamani sana kuhodhi wanawake zaidi ya mmoja kihalali, lakini vinavyotuzuia ni wivu mwingi kwa wanawake walio wengi na vitisho vya dini pamoja na kuachwa ukifosi kuoa mwingine!

Hauna dosari na upo kiasili zaidi, mwanaume si wa mwanamke mmoja.
 
Nipo mdogo wangu, huku ndiko tulikofikia baada ya wanaume kuwatwika wanawake majukumu mengi kuliko wao, wanawake wamechoka wameona bora watafute ngono na watoto tu mambo ya familia na ndoa NO πŸ˜‚πŸ˜‚
Jadda ndugu yangu nimekua mdogo wako lini tenaπŸ˜† ukute hata ni I'd ya kidumeπŸ˜…
 
Dada hongera zako japokuwa wewe si mke mwenza bali ni kamchepuko.

Hio starehe ulioipata ndio hasa lengo la ukewenza, ukewenza haupo kumkomoa mwanamke bali kimaumbile yeye ndo humnufaisha.

Mfano umeoa mwanamke tasa, sheria inakuambia usimuache bali uoe mwengine.

Pia mwanamke hawezi kua available siku zote kwenye sex, anaingia kwenye ada ya mwezi, ujusi siku arobaini, mara yupo kwenye operesheni n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…