Msaada wa Saikolojia: Nimetokea kupenda part time love/Uke wenza kuna kama mimi?

Pongezi kwako mleta mada KateMiddleton kwanza huwa nakupendaga tu.
Hii thread imekuwa na itakuwa na maoni mchanganyiko kulingana na mitindo ya maisha ya watu makuzi na malezi yao .
Lakini haiondoi asili ya maisha haiondoi uhalisia wa mtu , hisia na mitazamo ya mtu.

Wengi wamekulaumu ,tukana beza na wengine kupongeza , nami naunga na waliokupongeza .

Kuna aina fulani ya mtindo wa maisha tumeiga ma tumeufanya kuwa sehemu ha maisha, kwamba yoyote anaenda kinyume nao anakuwa mbaya!!

Mleta mada mantiki ya maisha ni furaha, na furaha hupatikana kwa njia nyingi, chochote unachofanya kinakupa furaha usijali wengine wanaongea aje maadamu wewe unafurahi kwacho.
 
Unapatikana wapi Mkuu ?
 
Hayajakukuta mwali
Kua uyaone simaanishi maghorofa
 
Labda nikuulize kwani wewe ni dini gani? Kama ni muislamu tupo tunaotaka kuongeza mke, sheria 4 na mimi ndio kwanza nina mmoja, usiache fursa ikupite hii
 
Ahahah sio mimi usiwe na hofu kabisa upo mwenyewe moyo uhuu ni uwanja wako cheza utakavyo

Ata ivyo umeshindaje kipnz siku yako ilikuwaje? Mimi siku yangu ilikuwa ime nibana kwa kazi ambazo haziishi kiasi cha kuwa na hasira gafla 😂
Na iwe hivyo tu,maana huu wivu utaniua,Yaani siwezi kulala nikijua uko Kwa mwanamke mwingine,muda wote nitakuwa nawaza tu sijui mnafanya Nini sasa hivi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Siku yangu iliisha poa kabisa,Pole na Kazi baba watoto,usikaririke bwana ,Kazi zikikuchosha my dear kaa upumzike kunywa maji baridi jifanye huzioni hizo Kazi zipo tu🤗🤗🤗🤗🤗
 
Thanks sana kipnzi Mungu anitunzie wewe vip lkn umeamkaje ? Jana umewa kulala sana
 
Ni sawa kabisa waala haujakosea upo sahihi lkn hakikisha mke mwenzio anakufaham na fungeni ndoa ili kuepusha kelele zaidi, you are one in millions dear, love you
 
Dada inaonekana moyo wako ni WA chuma na umejenga kutu!!
 
Yanaanzia wapi??? Mimi nijue mwanaume ninayempenda muda huu yupo na mwanamke mwingine nitakuwa nawaza tu sijui watakua wanafanya Nini!!hata usingizi hauji!!
Hapo ndipo unapokosea! Kujiondoa hizo tafakuli zako tu,utakua sawa kama mtoa mada.
 
Hapo ndipo unapokosea! Kujiondoa hizo tafakuli zako tu,utakua sawa kama mtoa mada.
Raha ya mapenzi uamini unapendwa Wewe tu,ana hisia na Wewe tu,sasa jitu jana limelala Kwa flani,Leo linakuja kwako litakudanganya Nini sasa,hizo hisia unazipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…