Msaada: Wakuu hii Application ya X (Twitter) inakula sana nafasi kwenye simu. Nifanyeje?

Msaada: Wakuu hii Application ya X (Twitter) inakula sana nafasi kwenye simu. Nifanyeje?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
IMG_4515.jpeg
 
Mkuu zingatia hizi hatua ,huenda zikasaidia :-
1. Futa Cache ya App
  • Nenda kwenye Settings > Apps > X (Twitter) > Storage.
  • Bonyeza Clear Cache (usibonyeze “Clear Data” bado).
  • Hii huondoa data ya muda mfupi kama picha na video ulizotazama.

2. Angalia Kama Kuna “Downloads” Ndani ya App
  • Fungua app ya X.
  • Angalia kama kuna video au picha ulizopakua (downloaded media).
  • Zifute moja moja au zote.

3. Ondoa na Kusakinisha (update)Upya App
- Kama hatua za juu hazitoshi, unaweza:
- Uninstall app ya X.
- Kisha Install tena kutoka Play Store.
- Hii huondoa kabisa data ya zamani na kuanza upya.

4. Tumia Twitter Lite au Toleo la Wavuti
  • Twitter Lite ni toleo nyepesi sana, linatumia data kidogo na nafasi ndogo.
  • Au tumia mobile.twitter.com kupitia browser bila kusakinisha app.
Ushauri wa Ziada
  • Angalia apps nyingine pia kama zina cache kubwa (mfano: TikTok, Instagram, Facebook).
  • Tumia apps za kusafisha simu kama Files by Google au CCleaner kwa usimamizi wa nafasi.
 
Kubabake hiyo pornhub inafanya nini kwenye simu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Cc: min -me and secretarybird
Baada ya kuona akina cocastic wanamzungusha daily jamaa ameona isiwe kesi.

Unajila mwenyewe na siyo dhambi kufanya hivyo maana bible haijakataza kula mkono wako.
 
Hiyo Twitter bila kuwa na page nzito za mkunaji mpemba,shetani 8,malkia wa nyuki ,utopolo 8 haifiki hata mb 10. Unfollow hao watu halafu clear cache mambo yatakuwa poa. Hiyo porn hub ni kama course era endelea kula cozi.
 
Back
Top Bottom