BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Aisee akili yako haina akiliHabari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, mziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tachezea za uso,
King La Jr
Ngoja nimcheki Nizar, mwanangu yupo huko mafia.Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, mziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tachezea za uso,
King La Jr
Nashukuru na karbu tena🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿Aisee akili yako haina akili
Kaka tashukuru sana ASE🙏🙏🙏🙏🙏Ngoja nimcheki Nizar, mwanangu yupo huko mafia.
Udini ulikuwa umetawala enzi hizo sijui Leo kama wamebadiliika
nakazia,Aisee akili yako haina akili
Mbona Siwa elewinakazia,
shida yake anajifanya mwanamitindo kumbe ni empty
😂😂😂😂😂nakazia,
shida yake anajifanya mwanamitindo kumbe ni empty
😂😂😂😂😂Huko utakwama
Kuna uislam mno
Yaani watu wanaishi kama wapo saudia
Hakuna bar, kamari wala makanisa
Ni wavuvi kuvua ngulu na kula ugali tu na kutawaza wakaswali
Siwaelewi hao jamaa😂😂😂😂😂
YaanSiwaelewi hao jamaa
Nielekeze labda we ume waelewaYaan
Mimi nimeishi mafia naijua vizuri sana na nimefanyaKuna jamaa alinipanga alinambia ILIKUA zamani mashabiki wa soka wapo kibao, Malaya kibao, gari zipo kiasi ila car wash si nyingi nikijipanga vizuri takinukisha watalii wanakuja ila wanakosa sehemu za kwenda mfano hakuna hotel inayo kesha kupiga mziki kwa watalii, mi nikifungua takua wa kwanza,
Pia mziki wangu naweza kua naukodisha kwa PA na sherehe za hapo kisiwani. Vijana wapo wapenda Bata kama Malaya zipo disco litakosaje watu?
Mwambie huyo jamaa ako aache kukuongopea.Kuna jamaa alinipanga alinambia ILIKUA zamani mashabiki wa soka wapo kibao, Malaya kibao, gari zipo kiasi ila car wash si nyingi nikijipanga vizuri takinukisha watalii wanakuja ila wanakosa sehemu za kwenda mfano hakuna hotel inayo kesha kupiga mziki kwa watalii, mi nikifungua takua wa kwanza,
Pia mziki wangu naweza kua naukodisha kwa PA na sherehe za hapo kisiwani. Vijana wapo wapenda Bata kama Malaya zipo disco litakosaje watu?
Chuma Cha reli hiki mjomba usiwa ze kabisaAcha kabisa mafya hutoboi nakuapia kwa jina la mama hutoboi kule watu wa kule sio watu wa dar watakuosha mapema sana urudi kwenu hoi hoi.
Bora Unguja mkuu
ya unguja Sheria mpya Kila siku, lounge zisha kuwa nyingi,Bora Unguja mkuu