Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

Mkuu unguja fresh shida

ya unguja Sheria mpya Kila siku, lounge zisha kuwa nyingi,
Kuna sehem ukifungua unatoboa, ila expenyive sana.. na sheria inayotumika sahiv ni kwqmba wananchi waikute hiyo bar sio wewe uwakute wao watakupeleka polisi kila siku
 
Mwekezaji was kweli na boss hawezi kuja kuomba ushauri mtandaoni ambapo inajulikana nwakali wa mafia hapa jamiiforum haifiki hata 1000..ungelikuwa serious ungeshaenda mafia mwenyewe kufanya survey
 
Kuna sehem ukifungua unatoboa, ila expenyive sana.. na sheria inayotumika sahiv ni kwqmba wananchi waikute hiyo bar sio wewe uwakute wao watakupeleka polisi kila siku
Kaka ndio mana nmekwambia mafia ni Bora mara mia kuliko unguja, mi ni mtu wa kuchungulia fursa sio muigaji hapana mafia ni Bora mara elfu kuliko unguja ila mafia usitegemee Leo jipe miaka mitano kwenda mbele mafia pesa IPO kuliko unguja miaka ijayo unguja Sheria hazieleweki, bado hawaja jipanga kuhost utalii MKUBWA, niamini Mimi mafia is the best for coming years
 
Usibebe risk kubwa kias hiko, kma ni hivyo bora ukafungue mwqsonga kigamboni mji mpya na sasa hiv kuna lami inaenda kule. Mkoa wa pwa ukingekuwq unaendelea mwa hesabu za miaka mitano mitano usingekuwq na vivanda vya udongo mpaka leo.

Ukiendelea kufos huko utakuw na hela hazina kaz mkuu
 
mafia nlitoka uko mbili 2022 pamechangamka mkuu kwa idea yako unaweza fanya jambo likawa kweli though kuna namna flani hivii watu wa pale wapo
 
Sawa kaka lakini mi kul

Sawa kaka lakini kule mipango ni mingi sana lounge ni moja wapo tu ila mipango ni mingi sana, nataka niweke car wash, baadae chuo Cha kozi ndogondogo, vijana watatoka sehemu mbalimbali tz kuja huko kusoma na hao ndo watakua wateja wangu nilio watarget,
 
Mkuu nisikilize mimi kuichagua mafia mbele ya unguja Nisha kaa sana unguja napajua hasara wanayo kula wale wamiliki wa bar unguja acha tu mafia nisha sema na nisha amua
 
mafia nlitoka uko mbili 2022 pamechangamka mkuu kwa idea yako unaweza fanya jambo likawa kweli though kuna namna flani hivii watu wa pale wapo
Vipi kossovo lounge bado Ina tinga, alafu watu wasicho jua mafia maeneo yapo wazi na nikaribu na maeneo ya utalii na mji kilindoni, watalii hawana sehemu za kwenda ikifika sita usiku miziki huzimwa kwenye mahiteli ya kitalii
 
Usibebe risk kubwa kias hiko, kma ni hivyo bora ukafungue mwqsonga kigamboni mji mpya na sasa hiv kuna lami inaenda kule. Mkoa wa pwa ukingekuwq unaendelea mwa hesabu za miaka mitano mitano usingekuwq na vivanda vya udongo mpaka leo.

Ukiendelea kufos huko utakuw na hela hazina kaz mkuu
Mkuu niombe kwa mungu nifanikishe takualika mkuu uje uone watu tulivo na mipango
 
Sawa kaka lakini mi kul

Sawa kaka lakini kule mipango ni mingi sana lounge ni moja wapo tu ila mipango ni mingi sana, nataka niweke car wash, baadae chuo Cha kozi ndogondogo, vijana watatoka sehemu mbalimbali tz kuja huko kusoma na hao ndo watakua wateja wangu nilio watarget,
Yan maana yqke mkakat wa masoko wa hotel ukifeli na bar inakufa. Wew fungua bar kubwa mwasonga mkuu tena na malaya wa buku 5 tano wawepo. Haki ya mungu five years to come unakuwa milionare kabisa. Achana na hiyo mipngo yq chuo na huko uchawini
 
🤣🤣🤣acha nicheke umenikumbusha mbali sana kuna jamaa yangu alienda pwani moja ya kati ya mji mkiru.Akafungua bara mziki mnene hajaaka sana wazee wakamuita oya watoto wetu wanapata mimba sana sababu ni hii bar yako funga haraka.Akajifanya mbishi mbona mpaka leo hataki kupasikia huko walipiga uchawi alilala kitandani kapalalize mwaka na nusu
 
Kaka target yangu ni watalii HUKO unako kusema Kuna watalii? Kutajirika ndani ya miaka mitano hizo ni fix nipo kwenye industry miaka kibao najua challenge zake na ndo mana nmepakataa unguja
 
Image, welcome to reality. Mm siafiki ili ukitoboa nialike
Usijali tachukua watoto wa singida tawamwaga hapo mafia ukija uta soti mmoja nakuhakikishia mafia naenda kuigeuza kuwa Maldives ndogo tuombee uzima, miaka hiyo geita ilivo kuwa na Leo ni tofauti sana why mafia?
 
🤣🤣🤣acha nicheke umenikumbusha mbali sana kuna jamaa yangu alienda pwani moja ya kati ya mji mkiru.Akafungua bara mziki mnene hajaaka sana wazee wakamuita oya watoto wetu wanapata mimba sana sababu ni hii bar yako funga haraka.Akajifanya mbishi mbona mpaka leo hataki kupasikia huko walipiga uchawi alilala kitandani kapalalize mwaka na nusu
Dah inahitaji mtu uwe kamili wakirusha vinadunda
 
Yan maana yqke mkakat wa masoko wa hotel ukifeli na bar inakufa. Wew fungua bar kubwa mwasonga mkuu tena na malaya wa buku 5 tano wawepo. Haki ya mungu five years to come unakuwa milionare kabisa. Achana na hiyo mipngo yq chuo na huko uchawini
Brother huyu jamaa inaonekana kwanza mafia anaiskia tu hajawahi kuishi wala kukaa, kuhusu kupata eneo ni rahisi na gharama zake nafuu, na hakuna utalii huo kama anavyofikiria, kwa ufupi mafia bado sana, ni wilaya inayojivuta mnoo, hata hiyo car wash na hicho chuo ni kupoteza pesa tu, watu wa kule bado sana.
Kuna bar inaitwa Kossovo haipo mbali na gati ya kilindoni ni nzuri na jamaa amejitahidi kuwekeza atleast kidogo yeye anafanya biashara tofauti na maeneo mengi.
 
Back
Top Bottom