Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

Mwekezaji was kweli na boss hawezi kuja kuomba ushauri mtandaoni ambapo inajulikana nwakali wa mafia hapa jamiiforum haifiki hata 1000..ungelikuwa serious ungeshaenda mafia mwenyewe kufanya survey
Kwasasa inabidi uanze kukusanya dondoo za huo utafiti kwanza
 
Brother huyu jamaa inaonekana kwanza mafia anaiskia tu hajawahi kuishi wala kukaa, kuhusu kupata eneo ni rahisi na gharama zake nafuu, na hakuna utalii huo kama anavyofikiria, kwa ufupi mafia bado sana, ni wilaya inayojivuta mnoo, hata hiyo car wash na hicho chuo ni kupoteza pesa tu, watu wa kule bado sana.
Kuna bar inaitwa Kossovo haipo mbali na gati ya kilindoni ni nzuri na jamaa amejitahidi kuwekeza atleast kidogo yeye anafanya biashara tofauti na maeneo mengi.
Tunza hayo maneno yako usije kuyakana
 
Ye anadhqn mafia yeye ndo ataifungulia dunia iwe next level. Anchofikiria yey kingekuw fursa kwel wengi wangeshaion siku nyingi tu
 
Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, muziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tutachezea za uso?

King La Jr
Una pesa kiasi gani?

Hio biashara ya lounge return on investment/ gharama za uwekezaji zintarud baada ya muda gani?

Kwanini usichague biashara nyingine amabayo sio risk ma pesa yako itarudi mapema?

Biashara ya lounge uwa inaend a kwa upepo. Ukifungua yko leo ukavuma siku upepo ukikats wanakuama wanaenda chimbo jipya

Ni bora uko ukajenga Airbnb au hotel z watalii
 
karibu kilindoni, ni kweli wapo vijana wanapenda starehe lakini hawana shughuli za kuwaingizia hela za kuja kutumia kwenye lounge yako. Shughuli zao ni bodaboda na uvuvi wa samaki kwa zana duni sana.
Hela iko kwa wazee kwa sababu wanamiliki mashamba ya nazi.

Garama utakazotumia kwenye lounge yako obvious bidhaa zako utauza bei juu tofauti na bar za kawaida. Watakaomudu labda wazungu na watumishi wachache wa halmashauri. Garama za usafirishaji kutoka dar kuja mafia zinasababisha kila kitu kuwa bei juu. Mafano azam cola dar wanauziwa 500 huku ni 800, Maji kubwa yote 1000, soda zote 1000

Mara nyingine wazee wakicharuka bar zinafungwa saa sita usiku, huruhusiwi kukesha. Wazee wana fitna sana hawa ni balaa. Mafia iko uchi kifursa yaani ni rahisi kuziona fursa za kupiga hela lakini ukiingia. Changamoto za kiroho, mzunguko mdogo wa hela, usafiri wa wananchi mmoja mv kilindoni, kufitiniwa.

Car wash ya kibabe, utapata magari labda ya halmashauri na madereva mara nyingine huosha wenyewe ili wabakie na vijihela. Watu binafsi wana magari japo ni ya kuhesabu sana

Uje umejipanga bwashee
 
Guest house pia, mafia wanapenda ngono sana sana, kuwakuta vichakani kawaida tena watu wazima na akili zao.
 
Bro hayo unayo sema ndo lengo langu kubwa ila lounge nayotaka kufungua malengo yangu nikupachangamsha kwanza pasikae kizembe bado shamba sana itawapa shida wageni wangu kizoea mazingira kama pataendelea kukaa kiporipori
 
Mz
karibu kilindoni, ni kweli wapo vijana wanapenda starehe lakini hawana shughuli za kuwaingizia hela za kuja kutumia kwenye lounge yako. Shughuli zao ni bodaboda na uvuvi wa samaki kwa zana duni sana.
Hela iko kwa wazee kwa sababu wanamiliki mashamba ya nazi.

Garama utakazotumia kwenye lounge yako obvious bidhaa zako utauza bei juu tofauti na bar za kawaida. Watakaomudu labda wazungu na watumishi wachache wa halmashauri. Garama za usafirishaji kutoka dar kuja mafia zinasababisha kila kitu kuwa bei juu. Mafano azam cola dar wanauziwa 500 huku ni 800, Maji kubwa yote 1000, soda zote 1000

Mara nyingine wazee wakicharuka bar zinafungwa saa sita usiku, huruhusiwi kukesha. Wazee wana fitna sana hawa ni balaa. Mafia iko uchi kifursa yaani ni rahisi kuziona fursa za kupiga hela lakini ukiingia. Changamoto za kiroho, mzunguko mdogo wa hela, usafiri wa wananchi mmoja mv kilindoni, kufitiniwa.

Car wash ya kibabe, utapata magari labda ya halmashauri na madereva mara nyingine huosha wenyewe ili wabakie na vijihela. Watu binafsi wana magari japo ni ya kuhesabu sana

Uje umejipanga bwashee
Mzuka sana kwani siku hizi approximately wazungu huja zaidi ya mia moja kwa wiki au bado nikama zamani TU mana lounge yangu so kubwa target ni watalii sio wavuvi na bodaboda, kuhis starehe Kuna kipindi Malaya walivunjiwa majengo yao ya ukahaba sa kama Malaya wapo watu wanasemaje starehe hakuna?
 
Guest house pia, mafia wanapenda ngono sana sana, kuwakuta vichakani kawaida tena watu wazima na akili zao.
Kuna kipindi madanguro yalivunjwa balaaa mpaka nikawa najiuliza hiyo dini wanayo sema imetamalaki ni wapi kama madanguro yanakia mengi mpaka majengo yanajengwa
 
Hapo sawa.ila usije ukasena umerogwa.kupeleka biashara ya kanzu mbeya ni kujifirisi
Hapana mkuu, mi target yangu ni watalii wanalalamika ilisha fika saa sita kimya wanashindwa kuenjoy wanatishia kutorudi tena hii Ina tuharibia utalii
 
Hapo sawa.ila usije ukasena umerogwa.kupeleka biashara ya kanzu mbeya ni kujifirisi
Kaka hivi nikifungua na kiwanda kidogo Cha kutengeneza sabuni za maji na mche naweza pata soko HUKO au BIASHARA inaweza kuwa nzuri?
 
karibu kilindoni, ni kweli wapo vijana wanapenda starehe lakini hawana shughuli za kuwaingizia hela za kuja kutumia kwenye lounge yako. Shughuli zao ni bodaboda na uvuvi wa samaki kwa zana duni sana.
Hela iko kwa wazee kwa sababu wanamiliki mashamba ya nazi.

Garama utakazotumia kwenye lounge yako obvious bidhaa zako utauza bei juu tofauti na bar za kawaida. Watakaomudu labda wazungu na watumishi wachache wa halmashauri. Garama za usafirishaji kutoka dar kuja mafia zinasababisha kila kitu kuwa bei juu. Mafano azam cola dar wanauziwa 500 huku ni 800, Maji kubwa yote 1000, soda zote 1000

Mara nyingine wazee wakicharuka bar zinafungwa saa sita usiku, huruhusiwi kukesha. Wazee wana fitna sana hawa ni balaa. Mafia iko uchi kifursa yaani ni rahisi kuziona fursa za kupiga hela lakini ukiingia. Changamoto za kiroho, mzunguko mdogo wa hela, usafiri wa wananchi mmoja mv kilindoni, kufitiniwa.

Car wash ya kibabe, utapata magari labda ya halmashauri na madereva mara nyingine huosha wenyewe ili wabakie na vijihela. Watu binafsi wana magari japo ni ya kuhesabu sana

Uje umejipanga bwashee
Je nikifungua kiwanda kidogo Cha SABUNI za maji na mche boss naweza Fanya BIASHARA zaidi au bado na SABUNI hawataki?
 
kama una mtaji mzuri njoo ufungue kiwanda cha kufungasha maji ya chupa. Underground water ipo vzuri na ni matamu kama ya moshi
 
kama una mtaji mzuri njoo ufungue kiwanda cha kufungasha maji ya chupa. Underground water ipo vzuri na ni matamu kama ya
Je nikifungua kiwanda kidogo Cha SABUNI za maji na mche boss naweza Fanya BIASHARA zaidi au bado na SABUNI hawataki?
sabuni za maji wamama wanatengeneza wenyewe siku hizi.
 
kama una mtaji mzuri njoo ufungue kiwanda cha kufungasha maji ya chupa. Underground water ipo vzuri na ni matamu kama ya moshi
Hapo mkuu maji marefu nifungue kiwanda Cha maji kwa watu ef 60 na si wote watayapenda mhhh ok ngoja nijipange ila nataka nianze na SABUNI mkuu au
 
Back
Top Bottom