Kuna sehem ukifungua unatoboa, ila expenyive sana.. na sheria inayotumika sahiv ni kwqmba wananchi waikute hiyo bar sio wewe uwakute wao watakupeleka polisi kila sikuMkuu unguja fresh shida
ya unguja Sheria mpya Kila siku, lounge zisha kuwa nyingi,
Kaka ndio mana nmekwambia mafia ni Bora mara mia kuliko unguja, mi ni mtu wa kuchungulia fursa sio muigaji hapana mafia ni Bora mara elfu kuliko unguja ila mafia usitegemee Leo jipe miaka mitano kwenda mbele mafia pesa IPO kuliko unguja miaka ijayo unguja Sheria hazieleweki, bado hawaja jipanga kuhost utalii MKUBWA, niamini Mimi mafia is the best for coming yearsKuna sehem ukifungua unatoboa, ila expenyive sana.. na sheria inayotumika sahiv ni kwqmba wananchi waikute hiyo bar sio wewe uwakute wao watakupeleka polisi kila siku
Usibebe risk kubwa kias hiko, kma ni hivyo bora ukafungue mwqsonga kigamboni mji mpya na sasa hiv kuna lami inaenda kule. Mkoa wa pwa ukingekuwq unaendelea mwa hesabu za miaka mitano mitano usingekuwq na vivanda vya udongo mpaka leo.Kaka ndio mana nmekwambia mafia ni Bora mara mia kuliko unguja, mi ni mtu wa kuchungulia fursa sio muigaji hapana mafia ni Bora mara elfu kuliko unguja ila mafia usitegemee Leo jipe miaka mitano kwenda mbele mafia pesa IPO kuliko unguja miaka ijayo unguja Sheria hazieleweki, bado hawaja jipanga kuhost utalii MKUBWA, niamini Mimi mafia is the best for coming years
Sawa kaka lakini kule mipango ni mingi sana lounge ni moja wapo tu ila mipango ni mingi sana, nataka niweke car wash, baadae chuo Cha kozi ndogondogo, vijana watatoka sehemu mbalimbali tz kuja huko kusoma na hao ndo watakua wateja wangu nilio watarget,Usibebe risk kubwa kias hiko, kma ni hivyo bora ukafungue mwqsonga kigamboni mji mpya na sasa hiv kuna lami inaenda kule. Mkoa wa pwa ukingekuwq unaendelea mwa hesabu za miaka mitano mitano usingekuwq na vivanda vya udongo mpaka leo.
Ukiendelea kufos huko utakuw na hela hazina kaz mkuu
Mkuu nisikilize mimi kuichagua mafia mbele ya unguja Nisha kaa sana unguja napajua hasara wanayo kula wale wamiliki wa bar unguja acha tu mafia nisha sema na nisha amuamafia nlitoka uko mbili 2022 pamechangamka mkuu kwa idea yako unaweza fanya jambo likawa kweli though kuna namna flani hivii watu wa pale wapo
Vipi kossovo lounge bado Ina tinga, alafu watu wasicho jua mafia maeneo yapo wazi na nikaribu na maeneo ya utalii na mji kilindoni, watalii hawana sehemu za kwenda ikifika sita usiku miziki huzimwa kwenye mahiteli ya kitaliimafia nlitoka uko mbili 2022 pamechangamka mkuu kwa idea yako unaweza fanya jambo likawa kweli though kuna namna flani hivii watu wa pale wapo
Mkuu niombe kwa mungu nifanikishe takualika mkuu uje uone watu tulivo na mipangoUsibebe risk kubwa kias hiko, kma ni hivyo bora ukafungue mwqsonga kigamboni mji mpya na sasa hiv kuna lami inaenda kule. Mkoa wa pwa ukingekuwq unaendelea mwa hesabu za miaka mitano mitano usingekuwq na vivanda vya udongo mpaka leo.
Ukiendelea kufos huko utakuw na hela hazina kaz mkuu
Yan maana yqke mkakat wa masoko wa hotel ukifeli na bar inakufa. Wew fungua bar kubwa mwasonga mkuu tena na malaya wa buku 5 tano wawepo. Haki ya mungu five years to come unakuwa milionare kabisa. Achana na hiyo mipngo yq chuo na huko uchawiniSawa kaka lakini mi kul
Sawa kaka lakini kule mipango ni mingi sana lounge ni moja wapo tu ila mipango ni mingi sana, nataka niweke car wash, baadae chuo Cha kozi ndogondogo, vijana watatoka sehemu mbalimbali tz kuja huko kusoma na hao ndo watakua wateja wangu nilio watarget,
Mafia kuna magari?moja la car wash
Image, welcome to reality. Mm siafiki ili ukitoboa nialikeMkuu niombe kwa mungu nifanikishe takualika mkuu uje uone watu tulivo na mipango
Kaka target yangu ni watalii HUKO unako kusema Kuna watalii? Kutajirika ndani ya miaka mitano hizo ni fix nipo kwenye industry miaka kibao najua challenge zake na ndo mana nmepakataa ungujaYan maana yqke mkakat wa masoko wa hotel ukifeli na bar inakufa. Wew fungua bar kubwa mwasonga mkuu tena na malaya wa buku 5 tano wawepo. Haki ya mungu five years to come unakuwa milionare kabisa. Achana na hiyo mipngo yq chuo na huko uchawini
Kwa hiyo mitumbwi Ina tembea barabaraniMafia kuna magari?
Labda uweke "Mitumbwi Wash"
Usijali tachukua watoto wa singida tawamwaga hapo mafia ukija uta soti mmoja nakuhakikishia mafia naenda kuigeuza kuwa Maldives ndogo tuombee uzima, miaka hiyo geita ilivo kuwa na Leo ni tofauti sana why mafia?Image, welcome to reality. Mm siafiki ili ukitoboa nialike
Dah inahitaji mtu uwe kamili wakirusha vinadunda🤣🤣🤣acha nicheke umenikumbusha mbali sana kuna jamaa yangu alienda pwani moja ya kati ya mji mkiru.Akafungua bara mziki mnene hajaaka sana wazee wakamuita oya watoto wetu wanapata mimba sana sababu ni hii bar yako funga haraka.Akajifanya mbishi mbona mpaka leo hataki kupasikia huko walipiga uchawi alilala kitandani kapalalize mwaka na nusu
OK! Break a legUsijali tachukua watoto wa singida tawamwaga hapo mafia ukija uta soti mmoja nakuhakikishia mafia naenda kuigeuza kuwa Maldives ndogo tuombee uzima, miaka hiyo geita ilivo kuwa na Leo ni tofauti sana why mafia?
Brother huyu jamaa inaonekana kwanza mafia anaiskia tu hajawahi kuishi wala kukaa, kuhusu kupata eneo ni rahisi na gharama zake nafuu, na hakuna utalii huo kama anavyofikiria, kwa ufupi mafia bado sana, ni wilaya inayojivuta mnoo, hata hiyo car wash na hicho chuo ni kupoteza pesa tu, watu wa kule bado sana.Yan maana yqke mkakat wa masoko wa hotel ukifeli na bar inakufa. Wew fungua bar kubwa mwasonga mkuu tena na malaya wa buku 5 tano wawepo. Haki ya mungu five years to come unakuwa milionare kabisa. Achana na hiyo mipngo yq chuo na huko uchawini