Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
Nina kiwanja ni eka 2 kipo karibu na bahari mafia.Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, muziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tutachezea za uso?
King La Jr
Kipo maeneo Gani?Nina kiwanja ni eka 2 kipo karibu na bahari mafia.
Nilinunua kipindi hichooo 2014.
Njoo nikukatie nusu eka nikuuzie.
Nauza kwa vipande vya nusu eka.
SITAKI DALALI.
Njoo inbox
Kuna mwenzako alituma ofa ya mil 25 niligoma.
Njoo wewe na ofa yako.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kashindwa marehemu Brigadier general Kimbau tena yeye ni mzawa wa kule na eneo lake lipo pwani kabisaYe anadhqn mafia yeye ndo ataifungulia dunia iwe next level. Anchofikiria yey kingekuw fursa kwel wengi wangeshaion siku nyingi tu
Bro! umemaliza kilakitu na huu ndio uhalisiakaribu kilindoni, ni kweli wapo vijana wanapenda starehe lakini hawana shughuli za kuwaingizia hela za kuja kutumia kwenye lounge yako. Shughuli zao ni bodaboda na uvuvi wa samaki kwa zana duni sana.
Hela iko kwa wazee kwa sababu wanamiliki mashamba ya nazi.
Garama utakazotumia kwenye lounge yako obvious bidhaa zako utauza bei juu tofauti na bar za kawaida. Watakaomudu labda wazungu na watumishi wachache wa halmashauri. Garama za usafirishaji kutoka dar kuja mafia zinasababisha kila kitu kuwa bei juu. Mafano azam cola dar wanauziwa 500 huku ni 800, Maji kubwa yote 1000, soda zote 1000
Mara nyingine wazee wakicharuka bar zinafungwa saa sita usiku, huruhusiwi kukesha. Wazee wana fitna sana hawa ni balaa. Mafia iko uchi kifursa yaani ni rahisi kuziona fursa za kupiga hela lakini ukiingia. Changamoto za kiroho, mzunguko mdogo wa hela, usafiri wa wananchi mmoja mv kilindoni, kufitiniwa.
Car wash ya kibabe, utapata magari labda ya halmashauri na madereva mara nyingine huosha wenyewe ili wabakie na vijihela. Watu binafsi wana magari japo ni ya kuhesabu sana
Uje umejipanga bwashee
Unataka kufungua lounge maeneo gani?Kipo maeneo Gani?
Nimeuliza chako kipo maeneo ganiUnataka kufungua lounge maeneo gani?
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unapotaka kufungulia lounge.Nimeuliza chako kipo maeneo gani
Ok takutafutaUnapotaka kufungulia lounge.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ni wazo zuri wasikukatishe tamaa. Uwe tu na mpango biashara mzuri. Kama bado hauna nichek PM nikuuzie hiyo huduma ya kukuandikia.Kuna jamaa alinipanga alinambia ILIKUA zamani mashabiki wa soka wapo kibao, Malaya kibao, gari zipo kiasi ila car wash si nyingi nikijipanga vizuri takinukisha watalii wanakuja ila wanakosa sehemu za kwenda mfano hakuna hotel inayo kesha kupiga mziki kwa watalii, mi nikifungua takua wa kwanza,
Pia mziki wangu naweza kua naukodisha kwa PA na sherehe za hapo kisiwani. Vijana wapo wapenda Bata kama Malaya zipo disco litakosaje watu?
Mtazamo wangu Mafia kama bado hakuja changanya unajua sehemu zenye jamii za kiswahili ni ngumu kufanya Biashara za Burudani tena ukute sehemu ambayo wageni hakuna kuna wenyeji %99Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, muziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tutachezea za uso?
King La Jr