Msaada wakuu ni app gani inatumika kuedit au kuweka maneno KWENYE picha kama haya

Iko simple sana premiere ni Pro level mkuu, ila filmora is aimed to beginners upate unachotaka haraka bila kuhangaika, just basic stuff zote za video editing ziko pale.
Oky oky hapo nimekuelewa sana...
Shukrani mkuu..
Ndo nilikua nataka kumwambia yule aliyesema after effect mana ile ni complex kuliko premier...

Ila kama kuna simpler zaidi kama hiyo fiml poa... .
 
Mimi siwezi ila iyo app inaweza wewe download
Je unayo kitu kama hiyo ambayo imetengenezwa kwa hiyo app mkuu....??
Ndo mana mwanzoni nimesema kuwa hiyo aliyo ituma ijatengenezwa kwa app ya simu...

Pia akitaka kutengeneza kwa simu atatumia mda mrefu tofauti na adobe... Hvo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…