Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mkuu after effects shida inakuja...After Effects ukiweza kuimaster unaweza fanya chochote unachofikiria. Hizi visual effects utatisha sana, motion graphics/design utatisha sana, utafanya vitu vya kitofauti sana.
Kikubwa jifunze tu, soma vitabu, tizama tutorials pia kuna courses kwa mfumo wa videos zipo online. Kama una passion lakini, maana music production na graphics designing ni kazi za passion. Mafanikio huja kwa kupenda unachofanya hivyo jitoe tu.
Huku kwa tutorial kuna effects anaweka ila wewe huku uki search hamna kitu..
Au kwa kuwa sisi local tunaitumia local (cracked) huwa hazina plugin za kutosha ..?
Maana hata mtandaoni uwezi kuta utakutana na file za PSD za photoshop tu mara chache kukuta mzigo wa after effect