Msaada wakuu ni app gani inatumika kuedit au kuweka maneno KWENYE picha kama haya

Tumia Photopea | Online Photo Editor .

Hii ni kama Adobe photoshop ila sio offline.
Unapotaka kutengeneza mockup au poster kama hiyo ni lazima uwe na aidia. Unaweza ukachora kwanza kwenye pepa halafu ndio ukahamishia kwenye Software au App.

Bonyeza tu hiyo link itakudirect. Hakuna haja ya kuinstall. Unaweza tumia Kwenye PC au simu.

Nikisema kuchora, namaanisha ubuni aina yako ya mkao usikopi mockup za watu wengine. Ukiandaa template yako nzuri, unabaki kuwa unabadili tu maneno na picha.
 
After effect Sio issue kubwa mana inategemea unafanyia kazi gn, ila kama kazi inawezekana kufanyika kwenye premier bc aachane na AE mana n very complicated
Oyaa weee kuna mzigo wa physics kule na gravitation ahahaha ile achana nayo...

After effect kule ni effect tu kama inavyosema ila mengine mengi we malizana na premium
 
Video atumie premier tu.. after effect ni show nyingine kwa issue ya export
Adobe media encoder akitumia itasaidia ku render kwa muda mfupi.

After effects naiweza nje ndani, mi natumia hadi cinema 4d, natumia blender n.k lakini nafanya for fun.

Blender nimeimaster miaka zaidi ya 15 nyuma.
Nilikua interested na graphics nipo sec school, software nyingi nimetumia kwenye monitor zile za chogo back in days....

Sema nachora sana,kumtizama mtu na kumchora alivyo nimeanza primary, projects zote za kuchora shuleni ni mimi, hadi leo primary school niliyosoma michoro yangu ipo.. hili ni jambo lilinifanya nianze kutumia software..

Graphics nafanya sana, very professional na very advanced endapo nikitenga muda...
 
Kitu kibaya ambacho siku hizi huwa nakiona kikizidi kukua humu JF ni watu kuchukia maswali. Kaulizwa mtu swali dogo tu humu, kajibu matusi.

Kuulizana na kujibiana maswali ni sehemu ya mjadala, tena mjadala ndiyo unakuwa hai kuliko kutiririka mikeka mfululizo.

Kama huna jibu, ni vema ukasema tu kama hujui. Maana huwezi kujua kila kitu kwa kila wakati. Sote tuko duniani kujifunza vitu vipya.

Ova
 
Kwani nani kajibu matusi kiongozi?
 
Adobe media encoder akitumia itasaidia ku render kwa muda mfupi.

After effects naiweza nje ndani, mi natumia hadi cinema 4d, natumia blender n.k lakini nafanya for fun.

Blender nimeimaster miaka zaidi ya 15 nyuma.
Nilikua interested na graphics nipo sec school, software nyingi nimetumia kwenye monitor zile za chogo back in days....

Sema nachora sana,kumtizama mtu na kumchora alivyo nimeanza primary, projects zote za kuchora shuleni ni mimi, hadi leo primary school niliyosoma michoro yangu ipo.. hili ni jambo lilinifanya nianze kutumia software..

Graphics nafanya sana, very professional na very advanced endapo nikitenga muda...
Mkuu after effects na premium kipi mi complex....
Maana unakutana na graphics wengi wanajua Photoshop illustrator na premium ila ukija kwa after effects changamoto..

Ina mambo mengi hata ukitumie encoder kuna ishu za MB unakuta mzigo unatoka una MB mpaka unasema huu mpaka ucompress.

Blender sijawahi kuwaza kutumia niliona kabisa yale mambo yatanitoa roho 😂😂🙌🙌🙌 ila now lazima nipige maana napiga 3D animation.

Kwa sasa blender ili upate currently hivi inabidi processer iwe ya kutosha plus graphic card pia

Mi kwa sasa nacheza na adobe package tuu maana wamejipanga wana kila kitu ni wewe tuu..

Hi inarahishisha sana katika kazi zako maana unaweza launch kitu kutoka photoshop to illustrator.. yaani kuna link tofauti ukiwa unatumia hizi zingine.

Kama unachora wee blender inakufaa sana mkuu 🙌 🙌 🙌...

Vipi unaweza kutumia realengine au unity...?
 
Tumia Photopea | Online Photo Editor .

Hii ni kama Adobe photoshop ila sio offline.
Unapotaka kutengeneza mockup au poster kama hiyo ni lazima uwe na aidia. Unaweza ukachora kwanza kwenye pepa halafu ndio ukahamishia kwenye Software au App.

Bonyeza tu hiyo link itakudirect. Hakuna haja ya kuinstall. Unaweza tumia Kwenye PC au simu.

Nikisema kuchora, namaanisha ubuni aina yako ya mkao usikopi mockup za watu wengine. Ukiandaa template yako nzuri, unabaki kuwa unabadili tu maneno na picha.
Aaaah sasa hapo mi naona nayo ipo vizri ila kwa kuwa kuna ishu ya online basi bora kidogo ya offline
 
Adobe media encoder akitumia itasaidia ku render kwa muda mfupi.

After effects naiweza nje ndani, mi natumia hadi cinema 4d, natumia blender n.k lakini nafanya for fun.

Blender nimeimaster miaka zaidi ya 15 nyuma.
Nilikua interested na graphics nipo sec school, software nyingi nimetumia kwenye monitor zile za chogo back in days....

Sema nachora sana,kumtizama mtu na kumchora alivyo nimeanza primary, projects zote za kuchora shuleni ni mimi, hadi leo primary school niliyosoma michoro yangu ipo.. hili ni jambo lilinifanya nianze kutumia software..

Graphics nafanya sana, very professional na very advanced endapo nikitenga muda...
Niweke sawa kidogo, Media Encoder husaidia kurender huku ukiendelea kutumia premier kuedit kitu kingine, siyo kufanya kwa haraka.

Maana ukirender kawaida bila hiyo encoder inabidi usubiri hadi imalize kurender ndiyo uendelee kutumia premeir.

Kitu kinachoweza kusaidia kurender kwa haraka ni uwezo wa mashine unayotumia, kama mashine ina RAM (Random-Access Memory) kubwa itarender fasta.

Ndiyo maana newsroom's nyingi zimeanza kutumia mashine za cyber power zile za kuchezea games, huwa zina RAM hadi 200.

Ova
 
Back
Top Bottom