Boli linatembea
Member
- Dec 21, 2022
- 66
- 167
Bro hujaona mfano mwengine kabisa?Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro hujaona mfano mwengine kabisa?Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
Sema huko option ni ndogo tu japo ni simple
ni kweli ila kwa sisi wenye kazi zakawaida ni sawa uki plus AI mambo mukideeeSema huko option ni ndogo tu japo ni simple
Mmmmh uwongomekumiss
Duuuh 🙌🙌🙌🙌🙌🙌After effects in addons au extensions nyingi sana online ambazo zinaweza kufanya kitu kama hiko.
Kuhusu size ya file inategemea ume export kwa format ipi adobe media encoder inakupa options nyingi za format kuanzia 4K hadi formats za smartphones.
After effects na adobe photoshop zinafanya kitu kimoja, sema photoshop inaweka effects kwenye picha moja hali ya kuwa after effects inaweka visual effects kwenye frames au picha zinazokamilisha video, mfano picha unabadili background kwenye photoshop, after effects inabadili background ya video nzima lakini inavyofanya kazi inacheza na frame moja baada ya nyingine hadi imalize, video ni mkusanyiko wa picha nyingi zinazopita kwa haraka zikiunganishwa na sauti, after effect unaweza weka effect kwenye frame moja ya video baada ya nyingine watengenezaji wakafanya urahisishaji zaidi na automation za kutosha, ukiwa na after effects latest sasa hivi inatumia AI inapiga effects za kufa mtu kwa clicks chache tu tena walitoa beta version ambayo ipo free sijui kama bado ipo free.
Unity hapana sijatumia lakini concepts ni zile zile tu, kama unafanya animation na unatumia sana adobe unaweza kutumia adobe animator.. nilitumia sana blender kwa sababu ni open source...
Labda nikuambie kitu kimoja, ukitaka kuwa deep kwenye graphics ama issue yeyote jaribu kuwa wa tofauti, vitu vingi vyepesi anafanya kila mmoja, kitu chochote anaweza fanya kila mtu ni worthless, fanya vitu wanaweza kufanya wachache, kama unaiona after effects ni ngumu basi deal nayo hio hadi hollywood wanatumia sana after effects, lakini kama tu graphics ni kazi yako, na utatisha sana.
Hivi vi software kwenye android n.k ni vizuri kwa issues simple.
Filmora na adobe premiere zote ni softwares kwa ajili ya video editing ambazo zinakuja na basics za visual effects, color correction n.k, lakini after effects ina kila kitu kuanzia editing, rangi hadi sauti, lakini ukija kwenye rangi kuna softwares ambazo ni advanced zinatumiwa na studios za movies hadi hollywood mfano Da Vinci Resolve japo nayo hadi ina editing visual effects n.k ni bonge moja la software hata premiere inasubiri.
Jamaa ajasoma sijui àahahahBro hujaona mfano mwengine kabisa?
Hapa HIZO zote SIOKwa PC photoshop ila ni overkill kwa kuweka maneno tu.
Kwa simu Pixel Lab ila mpaka utulize kichwa kupata mwonekano kama huo.
Software ipo exactly kwenye video?Kama ni picha Photoshop kama ni video After effects zote ni softwares za Adobe.
After Effect HIO kweli Bongotunacheza na Mama KiboSoftware ipo exactly kwenye video?
And vipi kuhusu subtitles?
Adobe premiere ni videoSoftware ipo exactly kwenye video?
And vipi kuhusu subtitles?
Ongea vizuri inaitwa Adobe Premiere ProAdobe premiere ni video
Subtitles pia unaweza tumia hiyo hiyo..
Japo kuna software flan hivi niliwahi tumia kwa ajili ya subtitles inaitwa videopad ipo easy sana upande wa kuweka subtitles
Asante sana kakaAdobe premiere ni video
Subtitles pia unaweza tumia hiyo hiyo..
Japo kuna software flan hivi niliwahi tumia kwa ajili ya subtitles inaitwa videopad ipo easy sana upande wa kuweka subtitles
Inaitwa Adobe premiere Pro usisahau neno ProAsante sana kaka
Safi sana mkuu👊👊👊Ongea vizuri inaitwa Adobe Premiere Pro
Ni kwa ajili ya kutengeneza matangazo ya Video km yale ya Azam, DStv na Startimes na makampuni mengine ya matangazo kuchanganya Graphics km HIZO hapo sijagusa Video za miziki ya wasanii
Subtitles usitumie nguvu nyingi filmora ipo vizuri, tizama tutorials chache tu youtube and you are there...Software ipo exactly kwenye video?
And vipi kuhusu subtitles?
Mkuu after effects natamani nijue aiseee ila daaah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌Subtitles usitumie nguvu nyingi filmora ipo vizuri, tizama tutorials chache tu youtube and you are there...
Filmora una imaster 30mins kama una uelewa kiasi kuhusu softwares za video editing.
Hii inafanyaje kazi mkuu?tafuta app inaitwa mobizen editer
Kuna mmoja kule juu kasema yani hiyo inafanya kila kitu wee unaweka picha unatulia 😂😂😂😂🚬🚬🚬Hii inafanyaje kazi mkuu?
After Effects ukiweza kuimaster unaweza fanya chochote unachofikiria. Hizi visual effects utatisha sana, motion graphics/design utatisha sana, utafanya vitu vya kitofauti sana.Mkuu after effects natamani nijue aiseee ila daaah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌