Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Ukirudi uko juu ya thread hii utaona mkuu.Kwani nani kajibu matusi kiongozi?
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukirudi uko juu ya thread hii utaona mkuu.Kwani nani kajibu matusi kiongozi?
Unajua mi encoder nilishindwa kuelewa kabisa.. au mybe mashine yangu uwezo mdogo...Niweke sawa kidogo, Media Encoder husaidia kurender huku ukiendelea kutumia premier kuedit kitu kingine, siyo kufanya kwa haraka.
Maana ukirender kawaida bila hiyo encoder inabidi usubiri hadi imalize kurender ndiyo uendelee kutumia premeir.
Kitu kinachoweza kusaidia kurender kwa haraka ni uwezo wa mashine unayotumia, kama mashine ina RAM (Random-Access Memory) kubwa itarender fasta.
Ndiyo maana newsroom's nyingi zimeanza kutumia mashine za cyber power zile za kuchezea games, huwa zina RAM hadi 200.
Ova
Ndio wale wale vichwa vigumu,ok poa mkuuUkirudi uko juu ya thread hii utaona mkuu.
Ova
Media encoder kwa mimi naona ni kama kitu cha kutumia kwa dharura, kama vile siku una kazi nyingi tofauti za kurender ndiyo inafaa.Unajua mi encoder nilishindwa kuelewa kabisa.. au mybe mashine yangu uwezo mdogo...
Encoder mara nyingi nilikua natumia kwa after effects tuu..
Ila kwa premier hapana na export moja kwa moja...
Na now mzigo wa after effect huwa na render kule kule so mzigo unatoka kwa AVI format hapo ndo naingiza kwa premier inakua ishaisha..
Encoder nilitumia baada ya kuona after effects kuna project zinachukua mda ila baada ya kujua hii ya ku render kule kule nikaachana nayo
Hivi ukiwa una Render na encoder huku una uwezo wa kuendelea na ishu zingine sio..?Media encoder kwa mimi naona ni kama kitu cha kutumia kwa dharura, kama vile siku una kazi nyingi tofauti za kurender ndiyo inafaa.
Lakini, kama una kazi moja tu ama unao muda, ni bora ukarender tu kawaida. Maana kulikuwa na madai ya kushusha quality kwa encoder.
Ila sijathibitisha hayo madai, ila kama unazilist kazi nyingi za kurender, kuna nyingine unaweza kuona zinasoma errors, lakini ukitazama unakuta zimekamilika kurender.
Ova
Hope umeshamjua jamaa anayejibu wenzake matusi kwenye thread. Usiku mwema comrade.Ndio wale wale vichwa vigumu,ok poa mkuu
ok PoaHope umeshamjua jamaa anayejibu wenzake matusi kwenye thread. Usiku mwema comrade.
Ova
Yeah! Unaweza kurender hata kazi kumi na bado ukaendelea kufanya kazi nyingine ila hakikisha project unayoirender usiiguse.Hivi ukiwa una Render na encoder huku una uwezo wa kuendelea na ishu zingine sio..?
Unaweza ku render kazi zaidi ya moja kwa encoder..?
Hapo nishaelewa sasa.... Nilifutiliaga mbali baada ya kuona nayo inazingua yaani kuweka audio spectrum tuu kwa audio caver ika render kwa masaa 2Yeah! Unaweza kurender hata kazi kumi na bado ukaendelea kufanya kazi nyingine ila hakikisha project unayoirender usiiguse.
Yaani huweza kurender project huku project hiyohiyo ukawa unaifanyia kazi, kule kwenye encoder itazingua.
Encoder uzuri wake unaweza ukarender kazi zote, kisha ukalala na asubuhi ukakuta zote ziko tayari, kuliko kurender moja moja kwa premiere.
Kwa encoder hukeshi nayo wakati unarender.
Ova
Ongeza uwezo wa mashine yako, ama tafuta mashine kubwa kidogo ili kupunguza huo muda wa kurender, ni mrefu sana.Hapo nishaelewa sasa.... Nilifutiliaga mbali baada ya kuona nayo inazingua yaani kuweka audio spectrum tuu kwa audio caver ika render kwa masaa 2
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Nikaona hapa bora niwe na software special ya audio spectrum tuu
Sawa mkuu...Ongeza uwezo wa mashine yako, ama tafuta mashine kubwa kidogo ili kupunguza huo muda wa kurender, ni mrefu sana.
Ova
mimi nimehamia huko mwaka sasa sijichoshi yaani ni mwendo wa canva + AI kazi ya lisaa unafanya kwa dakika kumiDaah canva nilikua nakumbuka ni app gani simple ya photo editing ndo hiyo...
Sema hii wamerahisisha sana aiseee
Sema huko option ni ndogo tu japo ni simplemimi nimehamia huko mwaka sasa sijichoshi yaani ni mwendo wa canva + AI kazi ya lisaa unafanya kwa dakika kumi
video nipo cupcut
Mkuu wadau juu washa jibu mengi ila kuongezea unahitaji software inayoruhusu kucheza na layers, kwenye hio picha kuna layer nyingi zimeunganishwa.Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
Unaweza kunijibu kwanini IDM au Internet Download Manager inaweza kupakua file kwa kasi kuliko speed ya browser ya kawaida, je IDM inaongeza kasi ya internet au inatumia server za utofauti?Niweke sawa kidogo, Media Encoder husaidia kurender huku ukiendelea kutumia premier kuedit kitu kingine, siyo kufanya kwa haraka.
Maana ukirender kawaida bila hiyo encoder inabidi usubiri hadi imalize kurender ndiyo uendelee kutumia premeir.
Kitu kinachoweza kusaidia kurender kwa haraka ni uwezo wa mashine unayotumia, kama mashine ina RAM (Random-Access Memory) kubwa itarender fasta.
Ndiyo maana newsroom's nyingi zimeanza kutumia mashine za cyber power zile za kuchezea games, huwa zina RAM hadi 200.
Ova
Encoder ni accelerator most of time kwenye hizi softwares, kama alivyokujibu mkuu Mdakuzi zinapunguza quality na kufanya kazi ya masaa kufanyika mda mchache. Hizi hazitumii cpu wala gpu bali ni accelerator ambazo zinajitegemea na zinaweza kuwekwa ndani ya cpu na gpu ili zikiwa zinatumika cpu yako ama gpu iendelee kufanya mambo mengine.Unajua mi encoder nilishindwa kuelewa kabisa.. au mybe mashine yangu uwezo mdogo...
Encoder mara nyingi nilikua natumia kwa after effects tuu..
Ila kwa premier hapana na export moja kwa moja...
Na now mzigo wa after effect huwa na render kule kule so mzigo unatoka kwa AVI format hapo ndo naingiza kwa premier inakua ishaisha..
Encoder nilitumia baada ya kuona after effects kuna project zinachukua mda ila baada ya kujua hii ya ku render kule kule nikaachana nayo
mekumissVideo atumie premier tu.. after effect ni show nyingine kwa issue ya export
mhhh kumbe una maakili hivi?Oky oky hapo nimekuelewa sana...
Shukrani mkuu..
Ndo nilikua nataka kumwambia yule aliyesema after effect mana ile ni complex kuliko premier...
Ila kama kuna simpler zaidi kama hiyo fiml poa... .
After effects in addons au extensions nyingi sana online ambazo zinaweza kufanya kitu kama hiko.Mkuu after effects na premium kipi mi complex....
Maana unakutana na graphics wengi wanajua Photoshop illustrator na premium ila ukija kwa after effects changamoto..
Ina mambo mengi hata ukitumie encoder kuna ishu za MB unakuta mzigo unatoka una MB mpaka unasema huu mpaka ucompress.
Blender sijawahi kuwaza kutumia niliona kabisa yale mambo yatanitoa roho 😂😂🙌🙌🙌 ila now lazima nipige maana napiga 3D animation.
Kwa sasa blender ili upate currently hivi inabidi processer iwe ya kutosha plus graphic card pia
Mi kwa sasa nacheza na adobe package tuu maana wamejipanga wana kila kitu ni wewe tuu..
Hi inarahishisha sana katika kazi zako maana unaweza launch kitu kutoka photoshop to illustrator.. yaani kuna link tofauti ukiwa unatumia hizi zingine.
Kama unachora wee blender inakufaa sana mkuu 🙌 🙌 🙌...
Vipi unaweza kutumia realengine au unity...?