Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Sawa mkuu nimeelewa sanaPremier ni software kubwa, ambayo kama hana ujuzi anaweza asimudu kufanya hicho anachotaka. Lakini Fimlora ni software ndogo ambayo hata asiye na ujuzi kivile anaweza kuitumia.
Ova
Nimecheka kwa sauti ππππWabongo kmme alai vichwa vigumu hawaelewi wewe uliona wapi app ikaedit video yenyewe?
Ahh siwezi kubishana na vichwa vibovu bro ok poa haiweziJe unayo kitu kama hiyo ambayo imetengenezwa kwa hiyo app mkuu....??
Ndo mana mwanzoni nimesema kuwa hiyo aliyo ituma ijatengenezwa kwa app ya simu...
Pia akitaka kutengeneza kwa simu atatumia mda mrefu tofauti na adobe... Hvo tu
πππ Sawa mkuuAhh siwezi kubishana na vichwa vibovu bro ok poa haiwezi
Dah hatimae kichwa kibovu kimenielewa Asante mkuuπππ Sawa mkuu
After effect Sio issue kubwa mana inategemea unafanyia kazi gn, ila kama kazi inawezekana kufanyika kwenye premier bc aachane na AE mana n very complicatedVideo atumie premier tu.. after effect ni show nyingine kwa issue ya export
πππππππDah hatimae kichwa kibovu kimenielewa Asante mkuu
Haina nomaπππππππ
Hainaga vipimo chuki chuki πππ
Oyaa weee kuna mzigo wa physics kule na gravitation ahahaha ile achana nayo...After effect Sio issue kubwa mana inategemea unafanyia kazi gn, ila kama kazi inawezekana kufanyika kwenye premier bc aachane na AE mana n very complicated
Adobe media encoder akitumia itasaidia ku render kwa muda mfupi.Video atumie premier tu.. after effect ni show nyingine kwa issue ya export
Kwani nani kajibu matusi kiongozi?Kitu kibaya ambacho siku hizi huwa nakiona kikizidi kukua humu JF ni watu kuchukia maswali. Kaulizwa mtu swali dogo tu humu, kajibu matusi.
Kuulizana na kujibiana maswali ni sehemu ya mjadala, tena mjadala ndiyo unakuwa hai kuliko kutiririka mikeka mfululizo.
Kama huna jibu, ni vema ukasema tu kama hujui. Maana huwezi kujua kila kitu kwa kila wakati. Sote tuko duniani kujifunza vitu vipya.
Ova
Mkuu after effects na premium kipi mi complex....Adobe media encoder akitumia itasaidia ku render kwa muda mfupi.
After effects naiweza nje ndani, mi natumia hadi cinema 4d, natumia blender n.k lakini nafanya for fun.
Blender nimeimaster miaka zaidi ya 15 nyuma.
Nilikua interested na graphics nipo sec school, software nyingi nimetumia kwenye monitor zile za chogo back in days....
Sema nachora sana,kumtizama mtu na kumchora alivyo nimeanza primary, projects zote za kuchora shuleni ni mimi, hadi leo primary school niliyosoma michoro yangu ipo.. hili ni jambo lilinifanya nianze kutumia software..
Graphics nafanya sana, very professional na very advanced endapo nikitenga muda...
Aaaah sasa hapo mi naona nayo ipo vizri ila kwa kuwa kuna ishu ya online basi bora kidogo ya offlineTumia Photopea | Online Photo Editor .
Hii ni kama Adobe photoshop ila sio offline.
Unapotaka kutengeneza mockup au poster kama hiyo ni lazima uwe na aidia. Unaweza ukachora kwanza kwenye pepa halafu ndio ukahamishia kwenye Software au App.
Bonyeza tu hiyo link itakudirect. Hakuna haja ya kuinstall. Unaweza tumia Kwenye PC au simu.
Nikisema kuchora, namaanisha ubuni aina yako ya mkao usikopi mockup za watu wengine. Ukiandaa template yako nzuri, unabaki kuwa unabadili tu maneno na picha.
Daah canva nilikua nakumbuka ni app gani simple ya photo editing ndo hiyo...Canva tena zaidi ya hapo
Niweke sawa kidogo, Media Encoder husaidia kurender huku ukiendelea kutumia premier kuedit kitu kingine, siyo kufanya kwa haraka.Adobe media encoder akitumia itasaidia ku render kwa muda mfupi.
After effects naiweza nje ndani, mi natumia hadi cinema 4d, natumia blender n.k lakini nafanya for fun.
Blender nimeimaster miaka zaidi ya 15 nyuma.
Nilikua interested na graphics nipo sec school, software nyingi nimetumia kwenye monitor zile za chogo back in days....
Sema nachora sana,kumtizama mtu na kumchora alivyo nimeanza primary, projects zote za kuchora shuleni ni mimi, hadi leo primary school niliyosoma michoro yangu ipo.. hili ni jambo lilinifanya nianze kutumia software..
Graphics nafanya sana, very professional na very advanced endapo nikitenga muda...