Msaada wakuu ni app gani inatumika kuedit au kuweka maneno KWENYE picha kama haya

Duuuh πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Mkuu umeiva πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŠπŸ‘Š

Yaani hapa sina neno
 
Adobe premiere ni video
Subtitles pia unaweza tumia hiyo hiyo..
Japo kuna software flan hivi niliwahi tumia kwa ajili ya subtitles inaitwa videopad ipo easy sana upande wa kuweka subtitles
Ongea vizuri inaitwa Adobe Premiere Pro

Ni kwa ajili ya kutengeneza matangazo ya Video km yale ya Azam, DStv na Startimes na makampuni mengine ya matangazo kuchanganya Graphics km HIZO hapo sijagusa Video za miziki ya wasanii
 
Safi sana mkuuπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Subtitles usitumie nguvu nyingi filmora ipo vizuri, tizama tutorials chache tu youtube and you are there...
Filmora una imaster 30mins kama una uelewa kiasi kuhusu softwares za video editing.
Mkuu after effects natamani nijue aiseee ila daaah πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Mkuu after effects natamani nijue aiseee ila daaah πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
After Effects ukiweza kuimaster unaweza fanya chochote unachofikiria. Hizi visual effects utatisha sana, motion graphics/design utatisha sana, utafanya vitu vya kitofauti sana.

Kikubwa jifunze tu, soma vitabu, tizama tutorials pia kuna courses kwa mfumo wa videos zipo online. Kama una passion lakini, maana music production na graphics designing ni kazi za passion. Mafanikio huja kwa kupenda unachofanya hivyo jitoe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…