Msaada wakuu ni app gani inatumika kuedit au kuweka maneno KWENYE picha kama haya

Mkuu after effects shida inakuja...
Huku kwa tutorial kuna effects anaweka ila wewe huku uki search hamna kitu..

Au kwa kuwa sisi local tunaitumia local (cracked) huwa hazina plugin za kutosha ..?

Maana hata mtandaoni uwezi kuta utakutana na file za PSD za photoshop tu mara chache kukuta mzigo wa after effect
 
Kuna vingi vya kuvifahamu kabla ya kuanza kutumia hizo addons mkuu, ifahamu kwanza after effects kwa undani, kuna vitu basics sana vitakusaidia kuijua after effects kwa undani.

Sema ni ubusy tu lakini hakuna effects nlishawahi kukosa.
 
Sawa sawa mkuu.. basic tu ipo ipo na mafanya kila leo an
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…