Msaada wenu madaktari, Nina fungus huu Mwaka wa tano

Hapa ndipo nakumbuka maisha ya ughaibuni kuoga maji ya moto kamwe huwezi kusumbuliwa na magonjwa haya.
Hata nyumbani ukiamua si unapasha tu maji moto Mkuu..tatizo mkaa umepanda bei
 
unapaka dawa unarudi kuvaa nguo zilezile,unalala palepale unadhani zitaisha.ukianza kupaka dawa badili nguo au ufue na dawa ya fangasi
Doh! Kwa hiyo nikipaka dawa sitakiwi kulala kitanda nilicholala siku iliyopita?
 
Nausubiri kwa hamu kweli
 
Pole sana mkuu kwa hiyo bado unawashwa[emoji86]
 
Labda niapply powder but hizo mambo zingine nafanya inavyotakikana
 
Asante captain
 
Aisee pole sana mkuu ungeweka na picha maana huku kuna madoctary wanaweza kukusaidia zaidi
Nitaweka nikipona maana, lina sura mbaya kinoma..harmo anasubiri hapa
 
Pole sana kwatatizo hilo nikweli kabisa ipo fangasi ya aina hiyo ninae ndugu yangu anamwaka wapili anasumbuliwa na tatizo hilo katumia dawa nyingi sana za hospital zakunywa za kupaka lakini bado anapona unarudi tena anakauka unarudi kwasasa kahamia kwenye dawa za asili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…