Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Wana imani na Mwigulu Nchemba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama changu pendwa ccm huyu mtu anaota mapembee taratibu atapoanza kuwabiga nayo hao mapembe msilaumu..
Kweli nchi inaliwa na wenye meno pikipiki hizo zote zimejaziwa mafuta ongeza na hayo magari loh
Katika makosa mabaya sana kwa mtu yeyote ni pale anapodhani anaweza kumhadaa mtawala.
Chama changu pendwa ccm huyu mtu anaota mapembee taratibu atapoanza kuwabiga nayo hao mapembe msilaumu..
Hakika.msafara wa malkia Elizabeth ulikuwa na pikipiki moja na gari sita tu.Haya ni matumizi mabaya ya Tozo