Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KoroshoNi zamu yao. Mwenzake juzi amezindua uwanja. Fedha zinatoka wapi? Mi sijui
Tafuta kabinti kamoja ka Mwigulu ukajaze ujauzito. Utakuja kunishukuru baadae....Haki ya Mungu hali ikiendelea hivi kuna kitu nitafanya
Anamchukulia mama Poa.....Hili kundi litampa mama tabu sana. Tena wanamuimbia, tuna imani na Mwigulu?
Namuona na chapombe kando yake
Unabii gani huo mkuu? Naomba unijuze! [emoji849]Lazima yatokee haya Ili UNABII utimie kikamilifu.
Ameeeen.
Waache watumie Tozo
Sawa😁😁Korosho
Anampima Mama kwani ameshajua muda wowote Ubalozi unamhusu
Mwigulu atawanyosha,asipokuwa PM basi atakuwa Rais kabisa.