Msafara wa Mwigulu Nchemba. Je, Kipindi Cha Magufuli ungeyafanya Haya?

Msafara wa Mwigulu Nchemba. Je, Kipindi Cha Magufuli ungeyafanya Haya?

Yaaani wananchi walivyofurahi utasema hakuna machungu ya tozo ama kwel ccm ina miaka ming san ya kutawala 😂😂😂
 
Huyu ni muda tu asipokuwa makini atarudi kulekule alikompeleka JPM kwani alimpa likizo.
Ila kwa likizo hii ndo itakuwa ngumu kwake kwani akumbuke ameshachafuka na yy sasa anachokifanya ni kumwonyesha Mama kuwa hajachafuka ndo maana ya ziara yake.
Lakini anachokifanya ni kitu abnormal kabisa !! Kitu hiyo huwa tunaonaga wakati wa kampeni za uchaguzi tu !!!
 
Kwa uzoefu wangu kwenye siasa za CCM tayari Mwigulu kashapigwa chini ila bado siku kamili ya kutangazwa. Hizo ni dalili za stress kwa kugundua yajayo yanafurahisha. Pole sana Mwigulu kwa kushindwa kushtukia mtego tangu mapema.
 
Yaaani wananchi walivyofurahi utasema hakuna machungu ya tozo ama kwel ccm ina miaka ming san ya kutawala 😂😂😂
na hao ni ccm si ndio? Hao jamaa akili zao wanajua wao

Kn muda ni chama kwanza.then kn muda mtu kwanza.muhimu washike dola
 
Siku nyingine waimbe rais rais rais..... Labda bi mkubwa atashtuka kuwa kakumbatia bomu
 
Tuna imani na jemedari samia team yake ikiongozwa na mawaziri makini akina january makamba,mwigulu nchemba,jenista mhagama nk.Nchi inajengwa kwa kasi sana na kazi iendelee
 
Mbona mimi siruhusiwi hata kugawia watu ubwabwa...
Wanasema hayo ni maandamano...
 
Mama aendelee kuwachekea hawa. Hapa maarufu ni mama tu wengine fanyen kazi
 
Back
Top Bottom