Msafara wa Mwigulu Nchemba. Je, Kipindi Cha Magufuli ungeyafanya Haya?

Msafara wa Mwigulu Nchemba. Je, Kipindi Cha Magufuli ungeyafanya Haya?

Kifupi ni kwamba kijana hajielewi na hajui njia ya kupita kuelekea pale juu.

Njia anayojaribu kutumia ni ya kitoto saaana na wakimkatia tawi namuonea huruma sana atapiga mueleka mkuuubwa sana na ile timu inaweza kufa.

Kama hiki anachokifanya hakina baraka za jamaa fulani basi namuonea huruma sana huyu kijana maana wakikubaliana wamtulize itakuwa mwisho mbaya sana kwake.
 
Lakini anachokifanya ni kitu abnormal kabisa !! Kitu hiyo huwa tunaonaga wakati wa kampeni za uchaguzi tu !!!
Kweli kabisa.
Anachokifanya ni kuonyesha ana watu yaani EL style.
Na ni kitu ninachoamini hana uwezo huo ila ameamua kujilisha upepo tu kwa uwezo wa kiuchumi alionao kwa muda huu kuendana nafasi aliyonayo.
 
Sasa anamdanganya Nani ?
 
Hapo hapo mnasema ccm imechokwa inategemea nguvu ya dola.
Mim sie kati ya wanaosema ayo ukwel kbs ccm bado inao mtaji wa watz wengi mnooo inahitaji akili tu kuendelea kutawala kwa watz kwa mda mrefu mno na si maguvu kama wanayotumia sas
 
Unaweza nambia kwann waliacha kukusanya zile 20,000 za machinga baada ya kuwapanga ktk masoko?

Wamepoteza Bei Gani?

Mwigu ni akili ndogo, KIMEI au ASSAD wanaweza kushauri njia Bora zaidi ya kuleta mapato Serikali I bila kuumiza raia.
Yote hayo ni maamuzi ya boss wake, yeye anafukia mashimo tu kwa uwezo wake.

Awezi mtoa hapo Mwigulu anachukua matusi kwa sasa kwa niaba ya boss wake.

Bila ya kusahau anatakiwa amtafutie hela Makamba za miradi yake ya kuboresha TANESCO (not necessary a bad thing) ila sio kwa phases bali wanampa zote in one go kwa amri ya boss wake.

Ndio Mwigulu ni waziri wa ovyo wa fedha, ila anajitahidi kufukia mashimo anavyoweza yeye. Mashimo yanayochimbwa na boss wake, na boss mwenyewe anajua.

Hawezi mtoa hapo.
 
Bado unaamini mwigu ataendelea kuwa WAZIRI??! Atatoswa pamoja na kupendwa kwake!!!
 
Back
Top Bottom