Msafara wa Mwigulu Nchemba. Je, Kipindi Cha Magufuli ungeyafanya Haya?

Msafara wa Mwigulu Nchemba. Je, Kipindi Cha Magufuli ungeyafanya Haya?

Surely they shall be severe consequences for this
 
Kwa aina hii ya siasa za nchi yetu kupiga hatua labda marejeo ya kristo.

Tulikua na Imani na kikwete akatuacha solemba

Tukawa na Imani na magufuli ndio ikawa ilivyo kua.

Sasa tunaimani na samia Ila kabla ya Imani haijawa Imani tumesha hamia kwa mwigulu.

Mungu atushikilie huruma tu!
 
Hawa watu bodaboda huwa hawaendi kwenye misafara hii bila kuwalipa...

Huyu Mwigulu anatoa wapi pesa za kuwalipa hawa iwapo yupo kwenye safari za kawaida tu za kikazi za serikali huku tukijua hulipwa posho ya safari kama mtumishi wa umma..??

Ndo kusema pesa ya posho yake ya safari analipa bodaboda wa kumwimbia barabarani badala ya kuachia familia yake ili wanunue chakula na maji...?

Hawa viongozi wetu mbona hawana haya wala aibu kiasi hiki..? Anawezaje kuwatumilia vumbi wananchi masikini hawa anaowatoza tozo huku yeye akiwa kwenye V8 New Model la TZs 600,000,000 peke yake...? Ina make sense kweli hii...?

Yaani katikati ya hali ngumu kifedha kwa wananchi na kufunga mikanda (maana wanatuambia hivyo) lakini cha ajabu wao wanatumia mali ya umma hovyo hovyo kiasi hiki halafu wanataka tukubaliane na mambo yao ya kijinga...?

Mbona wanatufanya wananchi majuha na wajinga hivi...?

Nani atabisha kuwa hawa sio wezi wa mchana kweupe wa fedha zetu za tozo na kodi...???

Matendo yao yanathibitisha madai haya bila shaka yoyote...
Wakulaumiwa hapo ni Mamlaka za Teuzi. Pili hapo mazuzu yaliojaziwa mafuta kwenye usafiri wao. Kesho utawakuta hao hao wakilalamikia tozo kwenye miamala.
 
Mtapeleka wangapi Ubalozini? Mh Mstaafu PM Pinda aliposema wanawaza 2025 sikumuelewa sasa ndio naanza kuelewa
Huyu ni muda tu asipokuwa makini atarudi kulekule alikompeleka JPM kwani alimpa likizo.
Ila kwa likizo hii ndo itakuwa ngumu kwake kwani akumbuke ameshachafuka na yy sasa anachokifanya ni kumwonyesha Mama kuwa hajachafuka ndo maana ya ziara yake.
 
Huyu ni muda tu asipokuwa makini atarudi kulekule alikompeleka JPM kwani alimpa likizo.
Ila kwa likizo hii ndo itakuwa ngumu kwake kwani akumbuke ameshachafuka na yy sasa anachokifanya ni kumwonyesha Mama kuwa hajachafuka ndo maana ya ziara yake.
Kwa kutapanya fedha za walipaTozo
 
Back
Top Bottom